We taahira kabisa. Matumizi ya reli ya mkolini yalikuwa nn n hii ya fisadi wenu ni nini? IdiotKweli wewe nyumbu. Unalinganisha reli ya mkoloni na sgr kwa matumizi.
Reli ya mkokoni ilitumiwa na mwafrika?
Ni rahisi tu. Mwanyika ameelewa kisa na kuamua kuwa mzalendo. Huyu mbu wenu bado anataka kushindana na serikali. Atakwisha si muda.
Ukiachana na tenda ilivyotolewa na kisha fedha kutolewa na mpwa wake meko. Uwanja wa Mwanza ambao uko eneo la kimkakati ulikuwa hautoshi?Watanzania wa kanda ya ziwa.
Kwa hiyo hizo Reli na Madaraja hao Wakoloni waliondoka navyo au sisi hatuvitumii?"..kama ni reli na madaraja hata wakoloni walijenga..." na Tundu Antipasi Lissu.
Watu wazima tunajua kuwa wakoloni walijenga miundombinu kwa ajili ya kupitisha mali ghafi kwenda kwao sio kwa maendeleo ya makoloni yao! Lissu Urais utapata tu huko Ubelgiji na sio Tanzania.