Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Gentlemen hapo hawajatajwa Kinana, Makamba,Nnauye, Mndolwa, Kikwete japo ni ndumilakuwili, Rostam, ........ Kiufupi chama cha mafisadi lazima kipasuke.maskini,
ramli na ushirikiana vinawatesa hadi warembo dah,
yaani unawamention useless persons ndani ya CCM kwa ujasiri hivyo? mbona ni dhahiri huo ni ushirkina madam!π
nonsense and completely uselessGentlemen hapo hawajatajwa Kinana, Makamba,Nnauye, Mndolwa, Kikwete japo ni ndumilakuwili, Rostam, ........ Kiufupi chama cha mafisadi lazima kipasuke.
gentleman,Mkuu umevuka level ya uchawa, umekua kupe kabisa kaka au kiwavi jeshi masta... Hili umeandika kwa utafiti au hisia, masta??
Luhaga Mpina ni useless? Hana ushawishi jimboni kwake??? Wakati hata national level ana ushawishi wa kutosha.. Kwamba Warioba ni useless?? Asee
Mkuu hizi ni ndani kabisa ccm hapako shwari hali ni mbayaHizi jumbe za kufukuta wikii hii ni ya Tanp au ya Sita.
Kama halipo linakuja
Tayari ccm wameooteana wewe endelea kuvaa miwani mbaomnajisumbua tu subirini mpaka makalio yaote sugu kwa kusubiri kuwa watavurugana