Pre GE2025 CCM kunafukuta, mpasuko mkubwa waja kuelekea Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
maskini,
ramli na ushirikiana vinawatesa hadi warembo dah,

yaani unawamention useless persons ndani ya CCM kwa ujasiri hivyo? mbona ni dhahiri huo ni ushirkina madam!šŸ’
Duuh kumbe ndivyo ilivyo? Kwamba ndani ya ccm kuna useless persons!?!
 
Wasalaam

Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.

Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.

View attachment 3225689
View attachment 3225695
Ndugai na Mpina hawana nguvu.
Warioba hana kundi.

Hao uliowataja hawana madhara kwa SHH
 
Wasalaam

Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.

Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.

View attachment 3225689
View attachment 3225695
Wewe ni FATANI....

Hakuna mwanaccm anayeweza KUWA MUASI kwa mwenyekiti wake.....

#Bila CCM imara nchi itatikisika!
#Rais Samia ameituliza CCM na nchi kwa ujumla!
 
Watanzania wengi tunaojitambua hatujafurahishwa na mchakato uliofanyika kihuni huko Dodoma wa kumpata mgombea urais 2025
Wewe si mwanaccm....yanakuhusu nini maamuzi ya wanaccm?!!

Hebu "kitulize" huko....
 
gentleman umekuja na ushirikina wako hadi kwenye hoja isiyo husika kabiasa? :pedroP:
Nimetulia na ushirikina wewe ndiye unaeufanya sana na mada zako zenye maneno marefu kama mtango zisizokuwa na pakushika zimo humu ukihitaji utaletewa. Mbona sikuhizi humwandiki tena Mbowe?
 
andikia uzi mahususi gentleman,

acha kuharibu tetesi nonsense iliyopo mezani dhidi ya individuals useless ndani na nje ya ccm :NoGodNo:
 
Speech ya ndugai ni ya kizalendo sana, mwamba anajitambua mno na mtanzania halisi anatakiwa awaze kama ndugai
Huyu mgogo alikosea kwenda kuomba msamaha, ama sivyo leo hii angeonekana shujaa ndani ya ccm!
 
Wasalaam

Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.

Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.

View attachment 3225689
View attachment 3225695
Ghost is inside part je wakifumue chama chote ama mam awapishe majibu hapo May or July... jambo lakutisha ikiwa mama atajaribu kujitoa mlipuko wa shangwe utakuwa mkubwa kiasi atajisikia vibaya sana so let be silence
 
Hii ngoma bado mbichi!
1. Mwezi May kuna kitu kitatokea!
2. Ikiendelea hivi ilivyo Nchimbi atakua rais kwa mlango wa nyuma!
3. Nchimbi akiwa rais hataendeleza ujinga ujinga! Atakua rais kweli kweli!
Na ukumbuke kuwa kikitokea hicho unacho kijua ndani ya huo mwezi uliyo utaja wewe ndo utakaye wajibika.
 
Samia akapumzike
Wasalaam

Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.

Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.

View attachment 3225689
View attachment 3225695
 
Dotto asipo pewa Uwaziri Mkuu, Kanda ya ziwa,kura tutapeleka chadema
 
Wasalaam

Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.

Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.

View attachment 3225689
View attachment 3225695
we nyau hizo ni bange zinakusumbua
 
Endelea kusubiria dodo chini ya mpapai
 
Ule ulikuwa mtego, kuna wahuni wakamsanua ukitoka tu mapinduzi yanafanyika.

Wajumbe walienda na agenda ya kujaza nafasi ya Kinana ghafla bin vuup! Uteuzi wa mgombea urais na makamu!
Lile jambo la haramu lingefanyika CHADEMA nadhani msajili wa vyama na tume ya uchaguzi hadi leo wangekuwq wanawasakama kwa maagizo kutoka juu!
 
Back
Top Bottom