rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Yaje tu yabweke. Tuna uhuru wa maoni.Kwani ww huyaogopi majibwa yake aliyoyafuga kumpambania mitandaoni.. ngoja yaje kukubwekea..
Aende akapumzike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaje tu yabweke. Tuna uhuru wa maoni.Kwani ww huyaogopi majibwa yake aliyoyafuga kumpambania mitandaoni.. ngoja yaje kukubwekea..
maskini,
ramli na ushirikiana vinawatesa hadi warembo dah,
yaani unawamention useless persons ndani ya CCM kwa ujasiri hivyo? mbona ni dhahiri huo ni ushirkina madam!🐒
angalau umeanza kuchangamka kidogo na hatimae unaweza kua mtu muerevu kidogo na asie mvivu sasa gentleman,Nasema hivi, sentensi ziwe fupi fupi kiongozi HODARA kama ulivyoandika hapo juu😂😂
Mimi natamani yauane kabisa haya ni majitu ya hovyo sana.Wasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.
View attachment 3225689
View attachment 3225695
even if it's true or false,What if the allegation is true? Mficha maradhi, kifo kitamuumbua
Unajisumbua kutumia busara kwa chawa aliyejitoa ufahamu, you're just wasting your calories.Mimi ni mwanaCCM mwenzio na mimi sio CCM maslahi ila nakipenda chama.Kwahyo nakueleza tu namna yakuheshimu viongozi wako wengine ambao hauwapendi.
Hiyo fursa unayoitumia yakutukana viongozi wako wengine usiowapenda mbele ya hadhara hii,ndio namna unavyowapa fursa wengine pia wasiowakubali viongozi wetu nao wawanange mbele ya hadhara hii hii.
Nasisitiza tena najua hauwakubali ila waheshimu kwa maneno ya staha hautapungukiwa kitu.
even if it's true or false,
surely,
na akili timamu kabisaa unajiassemble behind the mentioned useless and failed individuals?
lazma kutakua na tatizo la kisaikojia kwa watakaothubutu kufanya hivyo 🐒
hapana gentleman,Hapana. Ndani ya chama chetu kila kitu kinawezekana. Maana watu useless wametamalaki. Ndio wanasukuma kete.

👆Kama una matatizo ya kuandika kwa Kiswahili sanifu chagua lugha nyingine.angalau umeanza kuchangamka kidogo na hatimae unaweza kua mtu muerevu kidogo na asie mvivu sasa gentleman,
keep it up gentleman 🐒
Hizi jumbe za kufukuta wikii hii ni ya Tanp au ya Sita.##DUUH, UPANDE WA KWANZA BINAFSI NIMEONA HAYA...👇🏻👇🏻
➡Hoja ya Kibajaji ilikuwa na mashiko na ikaungwa karibu na wajumbe wote..
➡ Mwenyekiti wa kikao ambaye ndiye mpendekezwa wa kugombea u - Rais kagoma/kakataa kujadiliwa...
➡ Kataka aongoze kikao mwenyewe ambacho AJENDA ni kumjadili yeye mwenyewe🤔🤔. Hii ni principle ya wapi?
➡ Lakini tuliofatilia kikao hicho siku hiyo, utashangaa jambo moja lililotokea siku hiyo. Kwamba, hata baada ya wajumbe karibu wote kuunga mkono hoja ya Kibajaji (akiwemo mkwe wa Samia mwenye kifua kipana, Mchengerwa), lakini wajumbe hao hao kama mazuzu vile waliunga hoja ya mwenyekiti wao Samia aliyekataa kujadiliwa na kikao😕😕😕!!
##KWA UPANDE WA PILI, NAMUONA NDUGAYI (Former National Assembly Speaker)
➡ Huyu jamaa anaonekana kukerwa sana na mwenendo wa serikali chini ya Samia kukopa kopa hovyo. Ni dhahiri hamkubali wala kumfagilia kabisa huyu Chura Kiziwi wa Kizimkazi, nchini Zanzibar...
➡ Kajitoa muhanga na kulikemea hili waziwazi...
➡ Haina shaka yoyote kuwa, uamuzi huu wa Job Ndugayi kulisema hilo waziwazi, sio wake binafsi bali ni mjadala uliofanyika pembeni kabla kundi kubwa la watu wazito na kukubaliwa kuwa "wewe ndiyo uliseme hili boldly wazuwazi..." na ikawa hivyo...
➡ Hilo ☝🏻☝🏻linaweza kuthibitishwa na kauli hii;
"..bajeti yetu ni 30+ trillions, kati ya hizo 10trillions hulipa madeni kila mwaka. Unakwenda kukopa 1.3trillions, unalipa 10trillions halafu watu wanapiga magofi pwaa pwaa. Akili hizo? Ipo siku nchi hii itapigwa mnada hii. Mbona mmenyamaza...!!?"
➡ Soma hayo maneno ya Ndugayi between the lines. Binafsi nakubali kabisa, something is going to happen. Unabii umeshatimia katika ulimwengu wa roho, sasa utathibitika ktk ulimwengu wa mwili na kila mtu ataona kwa macho yake, kwamba, Chura Kiziwi na chawa wake wafanye kila wawezalo na wawazalo kwenye vichwa vyao, lakini Mungu aliye hai, ameshamkataa HAWEZI KUENDELEA TENA KUWA KIONGOZI WA NCHI HII NZURI YA TANGANYIKA...!!
sina muda huo gentleman,👆Kama una matatizo ya kuandika kwa Kiswahili sanifu chagua lugha nyingine.
Just read what you have written.

Hahhah Shetani atashindwa turasmi, ni vita katika ulimwengu wa roho. ni kati ya majini (mashetani) na Malaika wa Mungu (Jeshi la mbinguni).
Lazima ushindi uwe upande wa Bwana. Majini yashinde?! never on earth!!!!!!!
Wasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.
View attachment 3225689
View attachment 3225695
Nahisi wakati wa zamani kulikuwa na mambo hayawezekani. Ila leo hii kwa sababu nyingi, kuna yanayowezekana. Dunia imebadilika ingawa watu wengine bado wako enzi zile zilehapana gentleman,
sio kila jambo linawezekamna, hilo si sawa,
unadhani kuna aneweza kutetea kiti chake cha ubunge tu miongoni mwa hao, achilia mbali huyo water melon mwingine ambae akiambiwa nenda mbele anakwenda akiambiwa rudi kulia bial hata tafakari anakwenda?
hao watu hawana athari wala hawana ushawishi wowote ndani na nje ya ccm, na kwa maoni yangu naowaona ni completely useless in political scene![]()
WanaCCM wamebiruzwa na mwanamke na kundi lake kazi kwao.kama hukubali kuburuzwa kama mtanzania na mwanaCCM mwenye haki kidemokrasia piga kelele na kama umekubali kuburuzwa kaa kimya.Wasalaam