The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
##DUUH, UPANDE WA KWANZA BINAFSI NIMEONA HAYA...👇🏻👇🏻
➡Hoja ya Kibajaji ilikuwa na mashiko na ikaungwa karibu na wajumbe wote..
➡ Mwenyekiti wa kikao ambaye ndiye mpendekezwa wa kugombea u - Rais kagoma/kakataa kujadiliwa...
➡ Kataka aongoze kikao mwenyewe ambacho AJENDA ni kumjadili yeye mwenyewe🤔🤔. Hii ni principle ya wapi?
➡ Lakini tuliofatilia kikao hicho siku hiyo, utashangaa jambo moja lililotokea siku hiyo. Kwamba, hata baada ya wajumbe karibu wote kuunga mkono hoja ya Kibajaji (akiwemo mkwe wa Samia mwenye kifua kipana, Mchengerwa), lakini wajumbe hao hao kama mazuzu vile waliunga hoja ya mwenyekiti wao Samia aliyekataa kujadiliwa na kikao😕😕😕!!
##KWA UPANDE WA PILI, NAMUONA NDUGAYI (Former National Assembly Speaker)
➡ Huyu jamaa anaonekana kukerwa sana na mwenendo wa serikali chini ya Samia kukopa kopa hovyo. Ni dhahiri hamkubali wala kumfagilia kabisa huyu Chura Kiziwi wa Kizimkazi, nchini Zanzibar...
➡ Kajitoa muhanga na kulikemea hili waziwazi...
➡ Haina shaka yoyote kuwa, uamuzi huu wa Job Ndugayi kulisema hilo waziwazi, sio wake binafsi bali ni mjadala uliofanyika pembeni kabla kundi kubwa la watu wazito na kukubaliwa kuwa "wewe ndiyo uliseme hili boldly wazuwazi..." na ikawa hivyo...
➡ Hilo ☝🏻☝🏻linaweza kuthibitishwa na kauli hii;
"..bajeti yetu ni 30+ trillions, kati ya hizo 10trillions hulipa madeni kila mwaka. Unakwenda kukopa 1.3trillions, unalipa 10trillions halafu watu wanapiga magofi pwaa pwaa. Akili hizo? Ipo siku nchi hii itapigwa mnada hii. Mbona mmenyamaza...!!?"
➡ Soma hayo maneno ya Ndugayi between the lines. Binafsi nakubali kabisa, something is going to happen. Unabii umeshatimia katika ulimwengu wa roho, sasa utathibitika ktk ulimwengu wa mwili na kila mtu ataona kwa macho yake, kwamba, Chura Kiziwi na chawa wake wafanye kila wawezalo na wawazalo kwenye vichwa vyao, lakini Mungu aliye hai, ameshamkataa HAWEZI KUENDELEA TENA KUWA KIONGOZI WA NCHI HII NZURI YA TANGANYIKA...!!