Pre GE2025 CCM kunafukuta, mpasuko mkubwa waja kuelekea Oktoba 2025

Pre GE2025 CCM kunafukuta, mpasuko mkubwa waja kuelekea Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
rasmi, vi vita katika ulimwengu wa roho. majini (mashetani) na Malaika wa Mungu (Jeshi la mbinguni).
Lazima ushindi uwe upande wa Bwana. Majini yashinde?! never on earth!!!!!!!
Samia ndiye Rais wako baada ya October 2025!! You can take it to the bank!!
 
Watanzania wengi tunaojitambua hatujafurahishwa na mchakato uliofanyika kihuni huko Dodoma wa kumpata mgombea urais 2025
Wewe kama ndio team wale mliokuwa mkitembeza rushwa kwa wajumbe mshinde uteuzi wa Uraisi imekulla kwenu pesa yenu imeliwa bure nyie na baraza lenu feki mlipanga la mawaziri

Na ubunge hamtoboi

CCM inaweza pambana na watoa rushwa ili wapitishwe.kirahisi tu kuliko hata Takukuru

Hapo CCM imepiga bomu la nyuklia kwa watoa rushwa wote waliokuwa wakisambaza pesa wateuliuwe ugombea uraisi

CCM wamecheza kama Pele
 
sina haja ya kubabaika na kueleza sana mambo yanayohusu useless individuals ambao kwakweli hawana athari kabisaa kisiasa ndani na nje ya CCM,

na kwasabb hiyo,
tetesi husika ni nonsense politically speaking gentleman 🐒
Huna haja ya kubabaika wakati 1/4 ni post zako kwenye uzi huu ukiwa unajieleza tu!
 
JPM bado anaongoza kura za maoni mioyoni mwa watanzania (in Bagonza post)
 
##DUUH, UPANDE WA KWANZA BINAFSI NIMEONA HAYA...👇🏻👇🏻

➡Hoja ya Kibajaji ilikuwa na mashiko na ikaungwa karibu na wajumbe wote..

➡ Mwenyekiti wa kikao ambaye ndiye mpendekezwa wa kugombea u - Rais kagoma/kakataa kujadiliwa...

➡ Kataka aongoze kikao mwenyewe ambacho AJENDA ni kumjadili yeye mwenyewe🤔🤔. Hii ni principle ya wapi?

➡ Lakini tuliofatilia kikao hicho siku hiyo, utashangaa jambo moja lililotokea siku hiyo. Kwamba, hata baada ya wajumbe karibu wote kuunga mkono hoja ya Kibajaji (akiwemo mkwe wa Samia mwenye kifua kipana, Mchengerwa), lakini wajumbe hao hao kama mazuzu vile waliunga hoja ya mwenyekiti wao Samia aliyekataa kujadiliwa na kikao😕😕😕!!

##KWA UPANDE WA PILI, NAMUONA NDUGAYI (Former National Assembly Speaker)

➡ Huyu jamaa anaonekana kukerwa sana na mwenendo wa serikali chini ya Samia kukopa kopa hovyo. Ni dhahiri hamkubali wala kumfagilia kabisa huyu Chura Kiziwi wa Kizimkazi, nchini Zanzibar...

➡ Kajitoa muhanga na kulikemea hili waziwazi...

➡ Haina shaka yoyote kuwa, uamuzi huu wa Job Ndugayi kulisema hilo waziwazi, sio wake binafsi bali ni mjadala uliofanyika pembeni kabla kundi kubwa la watu wazito na kukubaliwa kuwa "wewe ndiyo uliseme hili boldly wazuwazi..." na ikawa hivyo...

➡ Hilo ☝🏻☝🏻linaweza kuthibitishwa na kauli hii;

"..bajeti yetu ni 30+ trillions, kati ya hizo 10trillions hulipa madeni kila mwaka. Unakwenda kukopa 1.3trillions, unalipa 10trillions halafu watu wanapiga magofi pwaa pwaa. Akili hizo? Ipo siku nchi hii itapigwa mnada hii. Mbona mmenyamaza...!!?"

➡ Soma hayo maneno ya Ndugayi between the lines. Binafsi nakubali kabisa, something is going to happen. Unabii umeshatimia katika ulimwengu wa roho, sasa utathibitika ktk ulimwengu wa mwili na kila mtu ataona kwa macho yake, kwamba, Chura Kiziwi na chawa wake wafanye kila wawezalo na wawazalo kwenye vichwa vyao, lakini Mungu aliye hai, ameshamkataa HAWEZI KUENDELEA TENA KUWA KIONGOZI WA NCHI HII NZURI YA TANGANYIKA...!!
LOCUTA CAUSA FINITA !
Hata hao Wazee wote uliowataja wanalijua hilo !

Na wale wote waharibugi wa mchakato wa Katiba mpya wanalijua hilo pia !
Kitu ambacho huenda walikuwa hawakijui ni kwamba Katiba ni Sheria Mama !
Na Sheria siku zote huwa ni kama Msumeno !
Na kawaida ya Msumeno siku zote huwa unakata mbele na nyuma ! 😳!

Waswahili Wanasemaga kulia kupokezana 😅😂👌👍 !
Kazi iendelee 👍🙏🙏🙏. 👍
 
Huna haja ya kubabaika wakati 1/4 ni post zako kwenye uzi huu ukiwa unajieleza tu!
Yes,
mie si mtu wa kunyoosha maneno ya ukweli dhidi ya upotoshaji gentleman?

ukweli ni mchungu lazma uumie wewe pamoja na wenzio mnaoamini ramli na ushirikiana 🐒
 
Unaiita ramli chonganishi na wakati huo huo unadharau wanachama watiifu wa chama kwa kuwaita useless??
ofcoz useless politicians within any vibrant and visionary political party are not tolerated 🐒
 
Ukweli ulio wazi pale ccm hapapo kama palivyo kuwa jana, hii haihitaji ufahamu mkubwa wa mambo ya siasi bali ni kuungasha nukta na kupata mchoro kamili, hata sisi tuliopo huku pembezoni mwa nchi tunafahamu mgogoro usio wa wazi pale ccm lakini ulio mkubwa kuliko hata unge kuwa wazi.
 
Wasalaam

Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.

Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.

View attachment 3225689
View attachment 3225695
Likubali au lisikubali hakuna wa kumbabaisha mh.Rais ,kama yupo mwambie ajitokeze.

Walioshindwa kipindi kile kupondua meza ndio wataweza saizi wamekatwa Mikia? 😆😆

Hizo ni stori za kujifariji Vijiweni
 
Back
Top Bottom