Pre GE2025 CCM kunafukuta, mpasuko mkubwa waja kuelekea Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ofcoz useless politicians within any vibrant and visionary political party are not tolerated 🐒
Having a difference in opinions and ideologies doesn't warrant you the right to demean people that in high probability you might live and die without accomplishing even 1/4 of their accomplishments.

The people you have called useless have served in this country in positions that your whole lineage, past, present and future might never live to serve.

Warioba alishawahi kuwa Waziri Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Professor wa kuheshimika, halafu unamuita useless, kwa qualification ipi uliyokuwa nayo wewe zaidi ya uchawa wa mitandaoni.
 
Huyu mama arudi kwao wallah. Atuachie nchi yetu.
Kwani lazima????? Lazima awe yeye.???
Huku ni bara atoke.
Keshaonja buyu la asali, hang'oki hata kwa grader😀😀😀.

Yani umwambie arudi nyumbani kutumikia zamu ya uke wenza wakati anakula mema ya nchi kiubwete. Huyu atang'anga'ania mpaka kieleweke.
 
ni muhimu Ukweli ukaelezwa wazi kwa wakati muafaka, na kwamba ulowataja ni useless katika siasa za Tanzania na tetesi yako ni nonsense ndani na nje ya CCM.

kuendekeza ramli na imani za kishirikina ni utumwa wa kimaskini sana kwenye karne hii ya sayansi na technologia 🐒
Unafikiri ukiwaita useless unawapunguzia kitu ukweli ni kwamba huwapunguzii kitu
 
Ukweli ulio wazi pale ccm hapapo kama palivyo kuwa jana, hii haihitaji ufahamu mkubwa wa mambo ya siasi bali ni kuungasha nukta na kupata mchoro kamili, hata sisi tuliopo huku pembezoni mwa nchi tunafahamu mgogoro usio wa wazi pale ccm lakini ulio mkubwa kuliko hata unge kuwa wazi.
CCM WAMEVAA MIWANI YA MBAO MAKUSUDI ILI WASIONE WAINGIE SHIMONI
 
Wasalaam

Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.

Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.

View attachment 3225689
View attachment 3225695
Tanzania has been ranked number 11 in the latest list of countries with the largest political party by members.
The Global Index’s 2023 report says Tanzania holds the position through its ruling party, Chama cha Mapinduzi (CCM) reportedly has a total of 8.4 million active members.
Mimi pia nilikuwa na imani kama yako, mpaka nikawa navurugikiwa, SELF Psychosocial COUSELLING ilinisaidia kukubaliana na status quo, sasa nina amani na immunity yangu imerudi, usijidanganye CCM ni watalaamu bobezi wa ku-solve internal party STRIFES, tofauti na vyama vingine CCM wana Mitigation Plan ya kupambana na chochote.
 
Keshaonja buyu la asali, hang'oki hata kwa grader😀😀😀.

Yani umwambie arudi nyumbani kutumikia zamu ya uke wenza wakati anakula mema ya nchi kiubwete. Huyu atang'anga'ania mpaka kieleweke.
It's not right. She knows it and we all know it.
Yaani huyu mama aniongoze Tena miaka 5.... Hapana aisee
 
Wasalaam

Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.

Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.

View attachment 3225689
View attachment 3225695
Dahh .😂😂😂
Ndugai alifunguka sana hapa aisee..

Hatarii
 
Unafikiri ukiwaita useless unawapunguzia kitu ukweli ni kwamba huwapunguzii kitu
sifikirii wala kuona haya kwenye jambo halisi na bayana kama kuwahusu useless individuals kama hao ambao hawana athari za kisiasa ndani au nje ya CCM.

Infact,
nawapenda sana waTanzania wote kama kiongozi mwandamizi wa wananchi 🐒
 
Having a difference in opinions and ideologies doesn't warrant you the right to demean people that in high probability you might live and die without accomplishing even 1/4 of their accomplishments.

The people you have called useless have served in this country in positions that your whole lineage, past, present and future might never live to serve.

Warioba alishawahi kuwa Waziri Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Professor wa kuheshimika, halafu unamuita useless, kwa qualification ipi uliyokuwa nayo wewe zaidi ya uchawa wa mitandaoni.
I think anyone who saved in different capacities in government with no impacts at all,
are also completely useless 🐒
 
Sentesi ziwe fupi fupi, acha kujiliza boss.
mimi sio boss gentleman,
ni kiongozi hodara na mchapakazi wa wananchi na waTanzania wote,

tafadhali,
uvivu na uchovu wako usiwe changamoto kwa wadau wa JF🐒
 
Wasalaam

Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.

Inasemekana kundi hili lina nguvu na hoja nzito na lina uungwqji mkono mkubwa na vingunge wa CCM akiwamo mh spika aliejiuzulu Job Ndugai, Jaji Warioba, Luhaga Mpina na kundi kubwa la wanaccm wanaojitambua ambao wanahisi wameburuzwa na hawajaridhika na mchakato mzima wa uteuzi.

View attachment 3225689
View attachment 3225695
We nawe sasa una uongo mwingi sana? mpina nae ni kingunge kuanzia lini!? Au vingunge wa chama huwajui?
 
Hii ni zamu yenu kuendesha chama tunawasubiri muingie barabarani….
Hapana Lisu hana hela, anamtegemea Mbowe maana ndio mwenye hela. Hadi sasa tuko barabarani, ama unataka barabara ipi?
 
Gentleman,
sio kwamba siwakubali, lahasha, nawapenda sana waTanzania wenzangu wote ispokua waliotajwa hawakubaliki wala hawaaminiki kwa jamii kwasabb ya tabia zao za uzushii, uongo, uchonganishi, chuki binafsi, tamaa walizonazo n.k.

na kwasabb hiyo tetesi hiyo iliyotolewa hapo juu ni nonsense na waliotajwa ni useless persons wasio na athari zozote kisiasa ndani na nje ya CCM imara na madhubuti sana kwa sasa chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan na Dr.Emmanuel Nchimbi 🐒
CHAWA in capital letters.
Mtu namba moja useless ni huyo kijakazi, anybody with common sense can see that.
 
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa madai kwamba makubaliano ilikuwa amalizie awamu ya Magufuli kisha apumzike.
Porojo! Unaleta hayo ya kale, hayanukiii! Mambo ya ndungai, du pengine ufungue uzi mwingine.

Kuna kundi kubwa lililowahi kutokea zaidi ya lile lililomuunga mkono Lowasa mbele ya kadamnasi ya wana CCM. Mambo yakasawazishwa safari ikaendelea, Magufuli kagombea. Hayo unayoyasema ni ya kale, Kombe litafunikwa na mwana...mu atapita.
 
Huyu mama arudi kwao wallah. Atuachie nchi yetu.
Kwani lazima????? Lazima awe yeye.???
Huku ni bara atoke.
Kwani ww huyaogopi majibwa yake aliyoyafuga kumpambania mitandaoni.. ngoja yaje kukubwekea..
 
Back
Top Bottom