CCM kunawaka moto, wakubwa waanza kulaumiana issue za Musiba, Mangula

CCM kunawaka moto, wakubwa waanza kulaumiana issue za Musiba, Mangula

GARETHBALE

Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
76
Reaction score
333
Hali tete kwenye viunga vya ccm. Taarifa za uhakika kutoka ofisi kuu ya chama hicho zinasema Wakubwa wanalaumiana na hata wengine kufikia hatua ya kukata tamaa. Utumikaji wa Musiba tokea mwanzo wa awamu hii, kumepelekea mpasuko mkubwa ndani ya chama hicho.

Kilichomtokea Mzee Mangula siku ya tarehe 28th Feb 2020 kinazidi kupigia msumari wa moto kwenye kidonda hicho, NEC wanasubiri taarifa 2, ya kwanza ni ile report ya kamati ya maadili iliyowahoji akina Membe, Kinana na Makamba kwa kuwa bado wanaCCM hawajaipata na kuisikia RASMI. Ripoti ya pili ni NEC wanataka kujua Mzee Mangula alipatwa na nini mle ndani hadi kupelekea kuitishwa maji kwa haraka na baada ya dakika chache kuitishwa Gari la Wagonjwa faster faster?

Kwanini hadi leo yule aliyepeleka maji hajahojiwa? Kwanini hadi leo hakuna ripoti ya madaktari inayosema mwili wa Mzee Mangula umekutwa na sumu? Sumu aina gani? Maji yaliitishwa na Dr Bashiru, alipeleka wapi?

Kesi ya Membe dhidi ya Musiba nayo inawatesa sana maana hawawezi kuingia uhuru wa mahakama, wanatakiwa kuwa wapole tu na wanatamani kesi ingeisha tokea mwaka jana, lakini kwa kuwa wengi wao pale ni 'wageni' hawakujua wanachokifanya.

Mwaka 2015, tar 23 May, wanaCCM walianza rasmi kuchukua form za urais, kumbe siku zimeisha na CCM bado haijaipanga kwa uchaguzi ipo busy kutatua migogoro ndan ya chama chao iliyoletewa na akina Musiba kwa kutumika bila kujua madhara yake kwa chama.

Corona inaua, ni hatari sana. Tuchukue tahadhali kama tunavyoshauriwa na wataalamu wa Afya.

Mungu ibariki TANZANIA.

Ni mimi Dotro Shija
Meatu.
075434901
 
Musiba atakuwa na mwisho mbaya sana

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Musiba atakuwa na mwisho mbaya sana

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Atapata mc mpya kazi ataendelea kupiga pesa.loudspeaker haiwezi nena kinyume na mc
 
Back
Top Bottom