Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Sasa Kama ni watanzania huko kujiapiza kwako kunatokana na Nini? Maana mimi na watanzania wengine wengi akigombea tu urais 2020 kura zetu anazoWatz! Naamini Watz hawawezi kumchagua msaliti wa nchi yetu Tundu. By the way amejitahidi sana kuona nchi inaingia kwenye matatizo lakini ameshindwa amezunguka kwa mabwana zake dunia nzima lakini hajafanikiwa usaliti wake!