CCM kunawaka moto, wakubwa waanza kulaumiana issue za Musiba, Mangula

Wananchi waliojiandikisha kupiga kura. Na hakuna mpiga kura mwenye akili ndogo ya kumpigia kura Tundu Lissu.
Wasema wewe, CCM tunakosea kutokuwa na watu weledi kwenye kujibu hoja. Chukua mfano wa debate huwa wanawekwa watu mahiri waojua kujenga hoja, tafuteni vijana wenye iq na mpangilio wa kujibu mashambulizi
 
Unajibu personal illusions? Mfano nikwambie, Mbowe ndiye aliyempoteza Ben Saanane kwasababu kama msaidizi wake wa karibu alikuwa ana siri nyingi anazozijua kumhusu. Unaweza kujibu hili?
 
Kwanini serikali ikatae kufanya uchunguzi na kwanini mbowe asikamatwe kwa alichokifanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema "alimpoteza". Kama wana makubaliano akakae nje ya nchi kwa muda fulani kuna kosa gani la kisheria? Hujui kuwa mke wa Ben Saanane ni Mhindi? Kama yuko ukweni kwa " makubaliano maalum" kuna kosa la kisheria hapo? Kwanini babaake na mke wake wako kimya? Uliishawahi kujiuliza hilo?
 
Mwaka 2015 may 23????????
 
Ndoto ya mchana mkuu msaliti Tundu hawezi kuwa Rais wa TZ milele mwambie akatafute kazi nyingine.
Mkuu ni kweli wananchi wa Tanzania ndo wanaamua nani awe rais Kama mtu mmoja alivyojibu humu ndani?
 
Subiri uchaguzi ufanyike utaona. Ila sijasema wenye exception kama wewe wa kumpigia Tundu Lissu hampo!!!
Mkuu nchi hii ina watu 55 + milioni Magufuli akipata kura milioni 8 meaning alipigiwa kura na watu milioni nane out of watu milioni 20 waliokuwa wamejiandikisha kupiga kura, wewe unaelewa nini hapo?
 
Mkuu nchi hii ina watu 55 + milioni Magufuli akipata kura milioni 8 meaning alipigiwa kura na watu milioni nane out of watu milioni 20 waliokuwa wamejiandikisha kupiga kura, wewe unaelewa nini hapo?
Hapo ninaelewa Rais Magufuli ndiye aliyepata kura nyingi kuliko wenzake na hivyo ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwani wewe nchi yenye watu milioni 55 wakajiandikisha milioni 20, wakaenda kupiga kura milioni 15 na akashinda wa milioni 8 unaelewa nini hapo?
 
Mangula alitaka kuondoshwa Na wenzake waliokuwa kwenye kile kikao, yaan ccm kuuana hawajaanza Leo.
 
Hivi nchi hii nani anaamua nani awe rais?
Watz! Naamini Watz hawawezi kumchagua msaliti wa nchi yetu Tundu. By the way amejitahidi sana kuona nchi inaingia kwenye matatizo lakini ameshindwa amezunguka kwa mabwana zake dunia nzima lakini hajafanikiwa usaliti wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…