CCM kunawaka moto, wakubwa waanza kulaumiana issue za Musiba, Mangula

Watz! Naamini Watz hawawezi kumchagua msaliti wa nchi yetu Tundu. By the way amejitahidi sana kuona nchi inaingia kwenye matatizo lakini ameshindwa amezunguka kwa mabwana zake dunia nzima lakini hajafanikiwa usaliti wake!
Sasa Kama ni watanzania huko kujiapiza kwako kunatokana na Nini? Maana mimi na watanzania wengine wengi akigombea tu urais 2020 kura zetu anazo
 
Sasa Kama ni watanzania huko kujiapiza kwako kunatokana na Nini? Maana mimi na watanzania wengine wengi akigombea tu urais 2020 kura zetu anazo
Atapata kura za wasaliti wenzake na mafida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…