CCM kupita kwa kishindo Unguja na Pemba ni ajabu la saba la dunia

CCM kupita kwa kishindo Unguja na Pemba ni ajabu la saba la dunia

Zanziba na hasa Pemba kulimshinda hata Mwalimu mwenyewe, hawa jamaa baana yaani wanajitekenya na kujicheka wenyewe!!!
 
Zanziba na hasa Pemba kulimshinda hata Mwalimu mwenyewe, hawa jamaa baana yaani wanajitekenya na kujicheka wenyewe!!!
Huyu ndiye alisema tusipoichagua CCM maendeleo hatupati na la kuwafanya hatuna
 
Inakujikana vizuri sana kwamba kule tunatawala kimabavu...

Na hilo halitakaa kuja kubadilika...



Cc: mahondaw
 
Katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma, Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri James ameeleza kumshangaa Mshauri mkuu wa chama cha ACT-Wazarendo Maalim Seif Sharif kutoka na maoni yake kuwa chama chake kinakubalika visiwani Zanzibar.

Bw. Kheri amesema chama cha Maalim Seif ni chama kisicho na wafuasi bali kinachotegemea majina ya watu kuwa maarufu.

Aidha ameongeza kuwa Visiwa hivyo vitabaki kuwa ngome imara ya Chama cha Mapinduzi.

Haya yamekuja baada ya Maalim Seif Sharif Hamad, kuzungumza dhidi ya kile anachosema ni maandalizi ya fujo yanayoratibiwa na viongozi wa ngazi za juu wa serikali na chama cha CCM.

Kwani magamba mlishawahi kushinda uchaguzi wowote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom