Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumbe hili la kumwaga damu lisitokee, lkn bila katiba mpya hata mtu asipoteze muda wake kuombea Urais kupitia vyama mbadala.Wasomali walikuwa Watu wa kwanza kuziunganisha Nchi zao na walikuwa ni wapole sana.
Hata Watigrai walikuwa ni watu wapole na waelewa
Watu wa Ubangishari pia walikuwa ni wapole kupita kiasi lakini leo wameingia kwenye machafuko yasioisha pamoja na vifaru na bunduki zote lakini hazikufua dafu.
Ndugu,soma historia ya Nchi za Kiafrika zilizokumbwa na machafukoTumbe hili la kumwaga damu lisitokee, lkn bila katiba mpya hata mtu asipoteze muda wake kuombea Urais kupitia vyama mbadala.
Umesahau,1. Tume ya uchaguzu inachaguliwa au kufutwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
2. Msajili wa vyama vya siasa huteuliwa au kufutwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
3. Rais ambaye ni mwenyekeiti wa CCM ndiye anatafuta pesa za uchaguzi
4. Jaji mkuu anateuliwa na kufukuzwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
5. Mkuu wa majeshi anateuliwa na kufutwa kazi mwenyekeiti wa CCM
6. Wakuu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama huteuliwa na kufutwa kazi mwenyekeiti wa CCM
7. Baraza la mawaziri huteuliuiwa au kuvunjwa na mwenyekeiti wa CCM
8. Wabunge wa CCM hupitishwa na mwenyekeiti wa CCM kugombea ubunge
9. Jina la spika kugombea uspika hupendekezwa na mwenyekeiti wa CCM na kupigiwa kura na wanachama waliopitishwa na CCM. Wakipingana na mwenyekiti mwenyekiti wa CCM anaweza kulivunja bunge tukaanza upya.
10. Wakuu wa wilaya,wakurugenzi, wakuu wa mikoa, RAS huteuliwa na mwenyekiti wa CCM.
11. Mchakato wa katiba mpya mpaka uitishwe na mwenyekiti wa CCM.
Kwa mtazamo wangu kuitoa CCM madarakani haiwezekani
😉 NGUME KUMEZA
SURUHISHO: Tuchape kazi tu kwani haina tofauti na aliehukumiwa kifungo cha maisha, either asuburi msamaha wa Rais au mpaka afe.
Hivi ni kwanini Rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu wa itikadi tofauti , wengine hawana hata chama anakuwa mwenyekiti wa Chama cha Siasa? Kwanini katiba isimkataze ili abaki kuwa wa wote kama alivychaguliwa na wote?1. Tume ya uchaguzu inachaguliwa au kufutwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
2. Msajili wa vyama vya siasa huteuliwa au kufutwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
3. Rais ambaye ni mwenyekeiti wa CCM ndiye anatafuta pesa za uchaguzi
4. Jaji mkuu anateuliwa na kufukuzwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
5. Mkuu wa majeshi anateuliwa na kufutwa kazi mwenyekeiti wa CCM
6. Wakuu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama huteuliwa na kufutwa kazi mwenyekeiti wa CCM
7. Baraza la mawaziri huteuliuiwa au kuvunjwa na mwenyekeiti wa CCM
8. Wabunge wa CCM hupitishwa na mwenyekeiti wa CCM kugombea ubunge
9. Jina la spika kugombea uspika hupendekezwa na mwenyekeiti wa CCM na kupigiwa kura na wanachama waliopitishwa na CCM. Wakipingana na mwenyekiti mwenyekiti wa CCM anaweza kulivunja bunge tukaanza upya.
10. Wakuu wa wilaya,wakurugenzi, wakuu wa mikoa, RAS huteuliwa na mwenyekiti wa CCM.
11. Mchakato wa katiba mpya mpaka uitishwe na mwenyekiti wa CCM.
Kwa mtazamo wangu kuitoa CCM madarakani haiwezekani
😉 NGUME KUMEZA
SURUHISHO: Tuchape kazi tu kwani haina tofauti na aliehukumiwa kifungo cha maisha, either asuburi msamaha wa Rais au mpaka afe.
Suala la kutenganisha kofia mbili ilikuwa hoja ya moto sana ndani ya CCM kwamba Rais wa nchi asiwe mwenyekiti wa chama cha siasa.Hivi ni kwanini Rais wa nchi, aliyechaguliwa na watu wa itikadi tofauti , wengine hawana hata chama anakuwa mwenyekiti wa Chama cha Siasa? Kwanini katiba isimkataze ili abaki kuwa wa wote kama alivychaguliwa na wote?