CCM kutoa watoto shuleni (Kenya Haiwezekani)

Zigi Rizla

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
1,064
Reaction score
1,107
Point ya kampeni ni kuvutia wapiga kura Sasa.... Hao madogo watapiga kura!! What's wrong with CCM! Really wanashida gani hawa watu?

Mkutano wa siasa Jumatatu kule Mwanza watoto wa shule wamejaa badala ya kuwa shuleni. Ikumbukwe watoto walirudi shuleni eti hakuna corona.

Hiki kitendo kilifanywa ili kuonyesha kuwa CCM wana wafuasi wengi na ni uongo. Ni aibu. Inamaanisha CCM na Magufuli ndio anajipenda kiasi cha kutaka kuchaguliwa hata kama itabidi watanzania kupoteza ni sawa tu bora Magufuli afike.
 

Ni aibu kwa CCM. Uwanja umejaa watoto wa shule wakivaa sare za CCM na shule zimefungwa leo Mwanza. Huu Ni ushenzi uliotukuka. Kwanza hawa madogo wamekosewa haki na si wapiga kura. CCM mbona ninyi ni washenzi kiasi hiki!
 
Umepagawa wewe si buree
 
Ni aibu kwa CCM. Uwanja umejaa watoto wa shule wakivaa sare za CCM na shule zimefungwa leo Mwanza. Huu Ni ushenzi uliotukuka. Kwanza hawa madogo wamekosewa haki na si wapiga kura. CCM mbona ninyi ni washenzi kiasi hiki!
Buda, shule zote Tanzania zipo katika mapumziko mafupi " Mid term break "
 
Kueni kama Kenya muamue shule ni 2021 na hio maneno iishie hapo sio kuzungusha watoto hadi hawajielewi. View attachment 1561858
Wewe tatizo lako ni watoto kwenda kwenye campaign au tatizo lako ni Tanzania kufungua shule 6 months ago while kunyans chokoraas are in streets?

Eti tukae kama kunyans πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ninyi nyumbu muwe benchmark yetu watanzania? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Maajabu
 
Ni aibu kwa CCM. Uwanja umejaa watoto wa shule wakivaa sare za CCM na shule zimefungwa leo Mwanza. Huu Ni ushenzi uliotukuka. Kwanza hawa madogo wamekosewa haki na si wapiga kura. CCM mbona ninyi ni washenzi kiasi hiki!
Na hii inaonesha CCM itabaki sana kwenye fikra za watanzania, vizazi na vizazi.
 
duh!!!
aisee.... nimesikitika kweli kweli. mtoto ananyimwa haki yake, anasombwa kwenye mikwechekweche na kupelekwa kwenye mikutano ya kisiasa..... kweli Jiwe halina maarifa.
 
Watoto nao wanataka kumwona JPM ni mtu wa namna gani. Kama vile ambavyo Zakayo ilimbidi apande juu ya mti kumwona Yesu, hata Magufuri kila mtu hupenda amwone kwa macho yake


 
Mkuu hapo unacholalamikia ni kwanini Corona imekimbia Tanzania na sio kwann watoto wameenda mkutanoni,kenya huwezi kuta nyomi la watoto hivyo tena bila barakoa. Shule hazikufungwa walipumzishwa kwa siku moja. Foleni ya magu inatesa sana wanafunzi wanapokua wanarudi majumbani toka shuleni
 
Eti linasema pick a struggle, manyang'au yana hamu magu atoswe
 
Hii ndio miwasho ya kikunya....yani ww ni zaido ya mwajuma ndala ndefu....
 
Wanachokifanya CCM Si kupuuzwa na vyama vyengine, Vizazi vinaingia katika siasa angali vichanga.

Mapenzi yanaanza utotoni ndio maana mama akimuacha mtoto analia, wanachora ramani ya mapenzi kwao kwani wanaamini kuna tabaka linaondoka.

Kuwatoa watoto shule sikubaliani nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…