Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Point ya kampeni ni kuvutia wapiga kura Sasa.... Hao madogo watapiga kura!! What's wrong with CCM! Really wanashida gani hawa watu?
Mkutano wa siasa Jumatatu kule Mwanza watoto wa shule wamejaa badala ya kuwa shuleni. Ikumbukwe watoto walirudi shuleni eti hakuna corona.
Hiki kitendo kilifanywa ili kuonyesha kuwa CCM wana wafuasi wengi na ni uongo. Ni aibu. Inamaanisha CCM na Magufuli ndio anajipenda kiasi cha kutaka kuchaguliwa hata kama itabidi watanzania kupoteza ni sawa tu bora Magufuli afike.