CCM kutoa watoto shuleni (Kenya Haiwezekani)

CCM kutoa watoto shuleni (Kenya Haiwezekani)

Mikutano ya siasa Tanzania ni salama hata kwa watoto na sio Mara kwanza. 1995 tulikuwa watoto tunamfuata Mrema na Marando. Ila Kenya kila mwanasiasa na jeshi la wahuni maarufu kama jeshi la mzee. Sio sehemu salama kwa watoto kabisa.
 
Back
Top Bottom