M Makwasa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2018 Posts 301 Reaction score 182 Sep 8, 2020 #21 Mikutano ya siasa Tanzania ni salama hata kwa watoto na sio Mara kwanza. 1995 tulikuwa watoto tunamfuata Mrema na Marando. Ila Kenya kila mwanasiasa na jeshi la wahuni maarufu kama jeshi la mzee. Sio sehemu salama kwa watoto kabisa.
Mikutano ya siasa Tanzania ni salama hata kwa watoto na sio Mara kwanza. 1995 tulikuwa watoto tunamfuata Mrema na Marando. Ila Kenya kila mwanasiasa na jeshi la wahuni maarufu kama jeshi la mzee. Sio sehemu salama kwa watoto kabisa.