Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chanzo cha kuaminika kimenong'oneza kwamba maudhui ya wimbo huo wa Gwiji John Komba akiwa na bendi ya ccm iliyokufa ya TOT yanaonekana kuwagusa moja kwa moja wanachama wa ccm badala ya wapinzani waliolengwa , na hivyo kuondoa morali wao wa kushiriki shughuli za chama , hivyo imependekezwa kibao hicho kikali kisitumike kwenye kampeni za uchaguzi wa 2020
Wanaccm wengi wanalalamikia ubeti unaotaja watu " KUISOMA NAMBA " huku wakitolea mfano wa wanaccm nguli kama Zakaria , Manji , Monaban na wengine chungu mzima akiwemo Antony Diallo aliyejitolea TV yake kuonyesha kampeni za ccm tu , kiasi cha kukiuka hata maadili ya TCRA , kitu kilichosababisha Mungu kuitandika laana ya mishahara kampuni yake hadi kukimbiwa na wafanyakazi , watu hawa waliosomeshwa namba wamekuwa mfano hai wa udhalilishaji wa wafadhili wa ccm unaoimbwa kwenye ubeti wa wimbo huo, jambo linaloonekana kama ni kudhalilisha wanachama wote nchi nzima
Tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi kwa kadri mtoa taarifa wetu atakavyoendelea kuvujisha siri zao
......Itaendelea hivi karibuni .