shebination
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 392
- 719
Yep wimbo wasipoutumia kura zitapungua Sana maana ulileta hamsha hamsha nomaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni urongo lakini unafurahisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chanzo cha kuaminika kimenong'oneza kwamba maudhui ya wimbo huo wa Gwiji John Komba akiwa na bendi ya ccm iliyokufa ya TOT yanaonekana kuwagusa moja kwa moja wanachama wa ccm badala ya wapinzani waliolengwa , na hivyo kuondoa morali wao wa kushiriki shughuli za chama , hivyo imependekezwa kibao hicho kikali kisitumike kwenye kampeni za uchaguzi wa 2020
Wanaccm wengi wanalalamikia ubeti unaotaja watu " KUISOMA NAMBA " huku wakitolea mfano wa wanaccm nguli kama Zakaria , Manji , Monaban na wengine chungu mzima akiwemo Antony Diallo aliyejitolea TV yake kuonyesha kampeni za ccm tu , kiasi cha kukiuka hata maadili ya TCRA , kitu kilichosababisha Mungu kuitandika laana ya mishahara kampuni yake hadi kukimbiwa na wafanyakazi , watu hawa waliosomeshwa namba wamekuwa mfano hai wa udhalilishaji wa wafadhili wa ccm unaimbwa kwenye ubeti wa wimbo huo, jambo linaloonekana kama ni kudhalilisha wanachama wote nchi nzima
Tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi kwa kadri mtoa taarifa wetu atakavyoendelea kuvujisha siri zao
Ngoja tuwakumbushe wanaLumumba wimbo wao wasiotaka kuusikia kipindi hiki cha kuisoma namba, shukrani zimwendee mtunzi Capt. John Komba RIP kada wa CCM
Ni huu?
😁
midundo mizuri.. waliyoimba hizo lyrics zingine humo kwa kweli!!!.. eeh kimipasho sio kiprofesheni hata kiburudani ikachezwa sehemu tulivu mf dina gala etc
Hawataki hata kuusikiahuu wimbo safi sana, sasa hivi wana CCM adabu....yaani ni kuisoma number kisawasawa dadadeki - njaa hadi mgogoni...teh teh teh
napendekeza utumike huu kuanzia kwenye uchaguzi serikali za mitaa.
😆😆😆😆😆sisi tunatoa remix ya hiyo nyimbo na tutatumia hicho kipande cja kuisoma namba kwasababu ni kweli wanaisoma hiyo namba
Mkiwa barabarani, ukiweza kusoma namba za chombo (gari/pikipiki) kilicho mbele yako; maana yake chombo hicho japo kimekutangulia ila hakijakuacha mbali sana. Hiyo ndiyo maana ya wimbo huo na ndiyo kura Milioni 8 za CCM kwa milioni 6 za CHADEMA. Hapo mliweza kusoma namba.Chanzo cha kuaminika kimenong'oneza kwamba maudhui ya wimbo huo wa Gwiji John Komba akiwa na bendi ya ccm iliyokufa ya TOT yanaonekana kuwagusa moja kwa moja wanachama wa ccm badala ya wapinzani waliolengwa , na hivyo kuondoa morali wao wa kushiriki shughuli za chama , hivyo imependekezwa kibao hicho kikali kisitumike kwenye kampeni za uchaguzi wa 2020
Wanaccm wengi wanalalamikia ubeti unaotaja watu " KUISOMA NAMBA " huku wakitolea mfano wa wanaccm nguli kama Zakaria , Manji , Monaban na wengine chungu mzima akiwemo Antony Diallo aliyejitolea TV yake kuonyesha kampeni za ccm tu , kiasi cha kukiuka hata maadili ya TCRA , kitu kilichosababisha Mungu kuitandika laana ya mishahara kampuni yake hadi kukimbiwa na wafanyakazi , watu hawa waliosomeshwa namba wamekuwa mfano hai wa udhalilishaji wa wafadhili wa ccm unaimbwa kwenye ubeti wa wimbo huo, jambo linaloonekana kama ni kudhalilisha wanachama wote nchi nzima
Tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi kwa kadri mtoa taarifa wetu atakavyoendelea kuvujisha siri zao
Kama kura watapiga polisi sawaMkiwa barabarani, ukiweza kusoma namba za chombo (gari/pikipiki) kilicho mbele yako; maana yake chombo hicho japo kimekutangulia ila hakijakuacha mbali sana. Hiyo ndiyo maana ya wimbo huo na ndiyo kura Milioni 8 za CCM kwa milioni 6 za CHADEMA. Hapo mliweza kusoma namba.
Uchaguzi ujao lazima maudhui ya wimbo yabadilike hata kama melodia itakuwa hiyohiyo. Hii ni kwasababu vyombo vitakavyokuwa vinashindana barabarani vitaachana mbali mno kiasi kwamba alie nyuma hatoweza kusoma namba za aliye mtangulia. Kwa maana hiyo huwezi ambiwa unasoma namba ili hali hata chombo hukioni.!
Polisi hata laki moja na nusu hawafiki. Kura 13m ni wananchi.Kama kura watapiga polisi sawa
unayo nakala halisi ya matokeo yaliyofichwa ya urais ya 2015 ? mimi ninayo .Polisi hata laki moja na nusu hawafiki. Kura 13m ni wananchi.
Haujui usemaloHivi ule wimbo unao pigwa wakati wa uchochezi ni bolingo au ni rap?.Maana ukipigwa hadi watoto wanaocheza barabarani wanakimbia utazani wameona mfuko wa plastic.Chadomo hamuwezi kutoa vibao vya moto vyenye content kama chama cha mapinduzi aisee.