Tetesi: CCM kutotumia wimbo wa John Komba kwenye kampeni 2020 , yadaiwa unawachoma wanachama wake , ni ule wa " ccm mbele kwa mbele "

Tetesi: CCM kutotumia wimbo wa John Komba kwenye kampeni 2020 , yadaiwa unawachoma wanachama wake , ni ule wa " ccm mbele kwa mbele "

Tabu ipo pale pale..na CCM inawatakia siku njema
 
unayo nakala halisi ya matokeo yaliyofichwa ya urais ya 2015 ? mimi ninayo .
Thubutu. Mind you! Nilikuwa sehemu ya wapokea matokeo hivyo huwezi nidanganya lolote. hayo hadaeni wapiga kura wenu tuu ili wasiwachoke kwa kushindwa kila uchaguzi.
 
Uchunguzi umebaini kwamba ikifika wakati wa uchaguzi uvccm huvishwa sare za polisi pia
Basi mara hii wakivishwa kamata mmoja lete. Any way hata wakivishwa bado kila mmoja atapiga kura kwa jina lake maana hata polisi ni wapiga kura. lakini pia kama upande wenu mupo wengi, hata uvccm wakivaa nguo za polisi mtawazidi, maana hawajasema wasio na uniform za polisi hawapigi kura.
 
Thubutu. Mind you! Nilikuwa sehemu ya wapokea matokeo hivyo huwezi nidanganya lolote. hayo hadaeni wapiga kura wenu tuu ili wasiwachoke kwa kushindwa kila uchaguzi.
Ulikuwa kwenye kile kitengo cha January na kapilimba au cha Lubuva ?
 
CCM kama ni watu wa mabadiliko sisi kwanza hatupaswi kutumia wimbo wowote ule uliowahi kutumika kwenye kampeni za nyuma?
Ila kwa sasa sita associate na kampeni za aina yeyote ile kwa Mwaka 2020, nitarejea kwenye kinyang'anyiro mwaka 2025 kulingana na ni nani atakuwa mgombea by that time
 
Sema ukweli usifiche
 
Harambee harambe mama harambe

Wautumie huu itapendeza pia
Ila ule wa CCM mbele kwa mbele ulipendwa sana na watu wote
 
Chanzo cha kuaminika kimenong'oneza kwamba maudhui ya wimbo huo wa Gwiji John Komba akiwa na bendi ya ccm iliyokufa ya TOT yanaonekana kuwagusa moja kwa moja wanachama wa ccm badala ya wapinzani waliolengwa , na hivyo kuondoa morali wao wa kushiriki shughuli za chama , hivyo imependekezwa kibao hicho kikali kisitumike kwenye kampeni za uchaguzi wa 2020

Wanaccm wengi wanalalamikia ubeti unaotaja watu " KUISOMA NAMBA " huku wakitolea mfano wa wanaccm nguli kama Zakaria , Manji , Monaban na wengine chungu mzima akiwemo Antony Diallo aliyejitolea TV yake kuonyesha kampeni za ccm tu , kiasi cha kukiuka hata maadili ya TCRA , kitu kilichosababisha Mungu kuitandika laana ya mishahara kampuni yake hadi kukimbiwa na wafanyakazi , watu hawa waliosomeshwa namba wamekuwa mfano hai wa udhalilishaji wa wafadhili wa ccm unaimbwa kwenye ubeti wa wimbo huo, jambo linaloonekana kama ni kudhalilisha wanachama wote nchi nzima

Tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi kwa kadri mtoa taarifa wetu atakavyoendelea kuvujisha siri zao
Huo ndio uzushi wa chadema.
 
Harambee harambe mama harambe

Wautumie huu itapendeza pia
Ila ule wa CCM mbele kwa mbele ulipendwa sana na watu wote
Machadema yanatamani nyimbo za ccm wamuambie dj awatungie wao.
 
Kuteuliwa kwa Mtatiro kumezidi kuleta sintofahamu
 
Ccm mbele kwa mbeeleeeee
Hivi ule wimbo unao pigwa wakati wa uchochezi ni bolingo au ni rap?.Maana ukipigwa hadi watoto wanaocheza barabarani wanakimbia utazani wameona mfuko wa plastic.Chadomo hamuwezi kutoa vibao vya moto vyenye content kama chama cha mapinduzi aisee.
 
Back
Top Bottom