Tetesi: CCM kutotumia wimbo wa John Komba kwenye kampeni 2020 , yadaiwa unawachoma wanachama wake , ni ule wa " ccm mbele kwa mbele "

Huu wimbo ni zawadi kubwa sana toka kwa mzee komba...binafsi inanikumbusha matukio mengi sana ya uchaguzi 2015.
 
Ni urongo lakini unafurahisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja tuwakumbushe wanaLumumba wimbo wao wasiotaka kuusikia kipindi hiki cha kuisoma namba, shukrani zimwendee mtunzi Capt. John Komba RIP kada wa CCM
Shukrani sana mkuu
 
Ni huu?

😁

midundo mizuri.. waliyoimba hizo lyrics zingine humo kwa kweli!!!.. eeh kimipasho sio kiprofesheni hata kiburudani ikachezwa sehemu tulivu mf dina gala etc
Tunakushukuru sana kwa wema wako
 
huu wimbo safi sana, sasa hivi wana CCM adabu....yaani ni kuisoma number kisawasawa dadadeki - njaa hadi mgogoni...teh teh teh

napendekeza utumike huu kuanzia kwenye uchaguzi serikali za mitaa.
 
huu wimbo safi sana, sasa hivi wana CCM adabu....yaani ni kuisoma number kisawasawa dadadeki - njaa hadi mgogoni...teh teh teh

napendekeza utumike huu kuanzia kwenye uchaguzi serikali za mitaa.
Hawataki hata kuusikia
 
sisi tunatoa remix ya hiyo nyimbo na tutatumia hicho kipande cha kuisoma namba kwasababu ni kweli MaCCM wanaisoma hiyo namba
 
Mkiwa barabarani, ukiweza kusoma namba za chombo (gari/pikipiki) kilicho mbele yako; maana yake chombo hicho japo kimekutangulia ila hakijakuacha mbali sana. Hiyo ndiyo maana ya wimbo huo na ndiyo kura Milioni 8 za CCM kwa milioni 6 za CHADEMA. Hapo mliweza kusoma namba.

Uchaguzi ujao lazima maudhui ya wimbo yabadilike hata kama melodia itakuwa hiyohiyo. Hii ni kwasababu vyombo vitakavyokuwa vinashindana barabarani vitaachana mbali mno kiasi kwamba alie nyuma hatoweza kusoma namba za aliye mtangulia. Kwa maana hiyo huwezi ambiwa unasoma namba ili hali hata chombo hukioni.!
 
Kama kura watapiga polisi sawa
 
Hizo ngoma zikipigwa vijijini huwa zinawaleta paka,mbwa kucheza😁😁😁 bila kujali chama.

Nyimbo hizo hazina chama japo niza sisiemu
 
Hivi ule wimbo unao pigwa wakati wa uchochezi ni bolingo au ni rap?.Maana ukipigwa hadi watoto wanaocheza barabarani wanakimbia utazani wameona mfuko wa plastic.Chadomo hamuwezi kutoa vibao vya moto vyenye content kama chama cha mapinduzi aisee.
Haujui usemalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…