Tetesi: CCM kutotumia wimbo wa John Komba kwenye kampeni 2020 , yadaiwa unawachoma wanachama wake , ni ule wa " ccm mbele kwa mbele "

Tabu ipo pale pale..na CCM inawatakia siku njema
 
unayo nakala halisi ya matokeo yaliyofichwa ya urais ya 2015 ? mimi ninayo .
Thubutu. Mind you! Nilikuwa sehemu ya wapokea matokeo hivyo huwezi nidanganya lolote. hayo hadaeni wapiga kura wenu tuu ili wasiwachoke kwa kushindwa kila uchaguzi.
 
Uchunguzi umebaini kwamba ikifika wakati wa uchaguzi uvccm huvishwa sare za polisi pia
Basi mara hii wakivishwa kamata mmoja lete. Any way hata wakivishwa bado kila mmoja atapiga kura kwa jina lake maana hata polisi ni wapiga kura. lakini pia kama upande wenu mupo wengi, hata uvccm wakivaa nguo za polisi mtawazidi, maana hawajasema wasio na uniform za polisi hawapigi kura.
 
Thubutu. Mind you! Nilikuwa sehemu ya wapokea matokeo hivyo huwezi nidanganya lolote. hayo hadaeni wapiga kura wenu tuu ili wasiwachoke kwa kushindwa kila uchaguzi.
Ulikuwa kwenye kile kitengo cha January na kapilimba au cha Lubuva ?
 
CCM kama ni watu wa mabadiliko sisi kwanza hatupaswi kutumia wimbo wowote ule uliowahi kutumika kwenye kampeni za nyuma?
Ila kwa sasa sita associate na kampeni za aina yeyote ile kwa Mwaka 2020, nitarejea kwenye kinyang'anyiro mwaka 2025 kulingana na ni nani atakuwa mgombea by that time
 
Sema ukweli usifiche
 
Harambee harambe mama harambe

Wautumie huu itapendeza pia
Ila ule wa CCM mbele kwa mbele ulipendwa sana na watu wote
 
Huo ndio uzushi wa chadema.
 
Harambee harambe mama harambe

Wautumie huu itapendeza pia
Ila ule wa CCM mbele kwa mbele ulipendwa sana na watu wote
Machadema yanatamani nyimbo za ccm wamuambie dj awatungie wao.
 
Kuteuliwa kwa Mtatiro kumezidi kuleta sintofahamu
 
Ccm mbele kwa mbeeleeeee
Hivi ule wimbo unao pigwa wakati wa uchochezi ni bolingo au ni rap?.Maana ukipigwa hadi watoto wanaocheza barabarani wanakimbia utazani wameona mfuko wa plastic.Chadomo hamuwezi kutoa vibao vya moto vyenye content kama chama cha mapinduzi aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…