Ccm kutumia makapuku wa chaumma kumtukana heche kupitia dalali na shehe fake mwaipopo inamaanisha nini?

Kiboko ya Mazwazwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2026
Posts
1,802
Reaction score
3,271
Jamani wadau mmeamkaje? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, imeibuka tabia ya ccm kutumia wale makapuku wa chaumma kupitia yule shehe fake mwenye vikundi vya kigaidi mwaipopo kumtukana heche na hitimisho lao wanasema aachie ngazi kwenye nafasi aliyonayo sasa maswali yangu ni haya;
1. Je, chaumma wanaonekana ni wapumbavu kiasi cha wao kuwa target ya kutumika?
2. Je, chaumma ni makapuku kuliko vyama vyote?
3. Kwanini ccm isitumie makapuku wake maana ndio imejaa makapuku wa mali na akili wengine wamo humu jf mifano tlatlah,mwashambwo et.l?
Mwisho, natambua kuwa mchezo wa kumchafua Heche ulishabuma na kupuuzwa lakini je, hao wanaoendelea japo Kwa uchache wamegeuza pesa za Abdul kuwa ni pesa za mjinga hivyo zipigwe tu?( This thread is for sane people)
Naomba majibu jamani.
 
CCM ni mfamaji, mwache atapetape
 
Inamaanisha kuwa ccm sasa wameishiwa mipango na hawana tena uwezo kumtawala nchi
 
Jamani wadau mmeamkaje? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, imeibuka tabia ya ccm kutumia wale makapuku wa chaumma kupitia yule shehe fake mwenye vikundi vya kigaidi mwaipopo kumtukana heche na hitimisho lao wanasema aachie ngazi kwenye nafasi aliyonayo sasa maswali yangu ni haya;
1. Je, chaumma wanaonekana ni wapumbavu kiasi cha wao kuwa target ya kutumika?
2. Je, chaumma ni makapuku kuliko vyama vyote?
3. Kwanini ccm isitumie makapuku wake maana ndio imejaa makapuku wa mali na akili wengine wamo humu jf mifano tlatlah,mwashambwo et.l?
Mwisho, natambua kuwa mchezo wa kumchafua Heche ulishabuma na kupuuzwa lakini je, hao wanaoendelea japo Kwa uchache wamegeuza pesa za Abdul kuwa ni pesa za mjinga hivyo zipigwe tu?( This thread is for sane people)
Naomba majibu jamani.
Hivi kwanini Chadema mnapenda kulialia? Hayati Mzee Bernard Camillius Membe alivyohisi amechafuliwa na Musiba alienda mahakamani kutafuta haki yake ya kusafishwa. Majibu tunayajia.

Sasa ninyi Chadema, uoga wa kuwapeleka mahakamani hao jamaa wa nini? Si mna mawakili wasomi nguli kabisa? Au mnaogopa Mahakama itaagiza Heche achunguzwe halafu mje kuaibika?
 
Huu mchezo wa kumchafua Heche ulishabuma zamani sana, lakini hawa madalali hawawezi kuacha kwa sababu kuna posho inaingia. Ni mradi wa watu wachache wanaopiga pesa za Abdul wakijua kabisa hakuna matokeo yoyote watakayoleta.
 
Hivi kwanini Chadema mnapenda kulialia? Hayati Mzee Bernard Camillius Membe alivyohisi amechafuliwa na Musiba alienda mahakamani kutafuta haki yake ya kusafishwa. Majibu tunayajia.

Sasa ninyi Chadema, uoga wa kuwapeleka mahakamani hao jamaa wa nini? Si mna mawakili wasomi nguli kabisa? Au mnaogopa Mahakama itaagiza Heche achunguzwe halafu mje kuaibika?
Hizi hizi mahakama zinazoongozwa kwa maelekezo kutoka JUU au unaongelea mahakama zipi?
 
Hivi kwanini Chadema mnapenda kulialia? Hayati Mzee Bernard Camillius Membe alivyohisi amechafuliwa na Musiba alienda mahakamani kutafuta haki yake ya kusafishwa. Majibu tunayajia.

Sasa ninyi Chadema, uoga wa kuwapeleka mahakamani hao jamaa wa nini? Si mna mawakili wasomi nguli kabisa? Au mnaogopa Mahakama itaagiza Heche achunguzwe halafu mje kuaibika?
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Back
Top Bottom