Pre GE2025 CCM Kutumia Watu Kama Hawa Kujibu Hoja ni Kujifedhehesha na Kutudharau Tunaohitaji Majibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?

Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu ukamletea mpuuzi ajibu anachukia zaidi kwani umemuona naye ni mpuuzi.

Mnatuibia kisha kutujibu mnatuma rubbish kuzungumza nasi kwa majibu ya kipuuzi! Mnastahili kuadhibiwa kidemokrasia. Na wakati huu hatukubali muibe, maana msidhani wale vijana walioko makambini ni wenu pekee hata sie ni watoto wetu, kaka na wadogo zetu, baba na mama zetu nk.

Hata wao wanauchungu na tunavyoishi maana nao wakitoka huko watarudi nyumbani kusiko matumaini ya maisha.

Pia soma:Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
 
Unaweza kuta huyo ndio mshauri wa rais mambo ya siasa na uchumi. Pamoja na awamu ya JK kuonekana ya kimjini mjini ila hakukuwa na chawa wa kujitokeza kumsifia kinafki maana walijua JK ni mjanja sana na haingiliki kwa kumsifia.

Kwa ufupi hiyo ni dharau sana kwa serikali na ni ishara kwamba watu wengi hawamuungi mkono rais.
 
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?

Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu ukamletea mpuuzi ajibu anachukia zaidi kwani umemuona naye ni mpuuzi.

Mnatuibia kisha kutujibu mnatuma rubbish kuzungumza nasi kwa majibu ya kipuuzi! Mnastahili kuadhibiwa kidemokrasia. Na wakati huu hatukubali muibe, maana msidhani wale vijana walioko makambini ni wenu pekee hata sie ni watoto wetu, kaka na wadogo zetu, baba na mama zetu nk.

Hata wao wanauchungu na tunavyoishi maana nao wakitoka huko watarudi nyumbani kusiko matumaini ya maisha.

Pia soma:Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Kuwadi na mwizi wa fedha za rambirambi naye anampigania Samia. Aibu hii huko CCM hadi lini mbwa nyie ?
 
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?

Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu ukamletea mpuuzi ajibu anachukia zaidi kwani umemuona naye ni mpuuzi.

Mnatuibia kisha kutujibu mnatuma rubbish kuzungumza nasi kwa majibu ya kipuuzi! Mnastahili kuadhibiwa kidemokrasia. Na wakati huu hatukubali muibe, maana msidhani wale vijana walioko makambini ni wenu pekee hata sie ni watoto wetu, kaka na wadogo zetu, baba na mama zetu nk.

Hata wao wanauchungu na tunavyoishi maana nao wakitoka huko watarudi nyumbani kusiko matumaini ya maisha.

Pia soma:Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Hahaa
 
Nimesoma post 19 za mwanzo naona hakuna aliyemsikiliza Steve Nyerere.., Mimi sio mfuasi wa Steve Nyerere wala wasanii, ila kwenye hiyo Clip kuna point kubwa kaongea, mkiweka vyama pembeni mtaelewa.

Watu wameichoka CCM ila CDM nao wanazingua. Ukifatilia ziara za Lissu zimejikita kuongelea watu, mara Abdul, mara Nyalandu etc, CDM hawajikiti kwenye matatizo ya wananchi na kutoa alternative hata kuwashauri wafanyeje.

Wamejikita kwenye siasa za matukio zaidi. Watanzania wa chini, wengi hata smartphone hawana , Abdul watamjulia wapi!?
 
Hii inadhihirishaa ni kwa namna gani Taifa haliko serious, CCM haiko serious na hata CDM haiko serious.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?

Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu ukamletea mpuuzi ajibu anachukia zaidi kwani umemuona naye ni mpuuzi.

Mnatuibia kisha kutujibu mnatuma rubbish kuzungumza nasi kwa majibu ya kipuuzi! Mnastahili kuadhibiwa kidemokrasia. Na wakati huu hatukubali muibe, maana msidhani wale vijana walioko makambini ni wenu pekee hata sie ni watoto wetu, kaka na wadogo zetu, baba na mama zetu nk.

Hata wao wanauchungu na tunavyoishi maana nao wakitoka huko watarudi nyumbani kusiko matumaini ya maisha.

Pia soma:Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Nadhani kwa siasa za saaa zilivyochuja… huyu ndio right person kujibu mitusi
 
Doh 🚶
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Nimesoma post 19 za mwanzo naona hakuna aliyemsikiliza Steve Nyerere.., Mimi sio mfuasi wa Steve Nyerere wala wasanii, ila kwenye hiyo Clip kuna point kubwa kaongea, mkiweka vyama pembeni mtaelewa. Watu wameichoka CCM ila CDM nao wanazingua. Ukifatilia ziara za Lissu zimejikita kuongelea watu, mara Abdul, mara Nyalandu etc, CDM hawajikiti kwenye matatizo ya wananchi na kutoa alternative hata kuwashauri wafanyeje. Wamejikita kwenye siasa za matukio zaidi. Watanzania wa chini, wengi hata smartphone hawana , Abdul watamjulia wapi!?
Tatizo gani la Wananchi unalohisi Chadema hawajawahi kuliongelea?
 
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?

Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu ukamletea mpuuzi ajibu anachukia zaidi kwani umemuona naye ni mpuuzi.

Mnatuibia kisha kutujibu mnatuma rubbish kuzungumza nasi kwa majibu ya kipuuzi! Mnastahili kuadhibiwa kidemokrasia. Na wakati huu hatukubali muibe, maana msidhani wale vijana walioko makambini ni wenu pekee hata sie ni watoto wetu, kaka na wadogo zetu, baba na mama zetu nk.

Hata wao wanauchungu na tunavyoishi maana nao wakitoka huko watarudi nyumbani kusiko matumaini ya maisha.

Pia soma:Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Yeye mwenyewe anaongelea watu
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom