Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?
Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu ukamletea mpuuzi ajibu anachukia zaidi kwani umemuona naye ni mpuuzi.
Mnatuibia kisha kutujibu mnatuma rubbish kuzungumza nasi kwa majibu ya kipuuzi! Mnastahili kuadhibiwa kidemokrasia. Na wakati huu hatukubali muibe, maana msidhani wale vijana walioko makambini ni wenu pekee hata sie ni watoto wetu, kaka na wadogo zetu, baba na mama zetu nk.
Hata wao wanauchungu na tunavyoishi maana nao wakitoka huko watarudi nyumbani kusiko matumaini ya maisha.
Pia soma:Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu