Mu7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,624
- 1,934
Hahahahaha.....katiba inawaruhusu maana wanatakiwa kujua kusoma na kuandika tu na kiingereza au kiswahili. Mwache dogo naye ale mema ya nchi bwn. Kama wananchi wanampenda na wamethibitisha hilo kwa kumpa kura, wacha akagonge meza na kula keki ya taifa.STD 7 Oyeeee kudadadeki wanaongezeka kwenda kugonga Meza.