Acha wivu wa kike mkuu,soma katiba ya nchi yako kuhusu mgombea wa ubunge awe na sifa gani, ndo uje hapa unalilia.
Sifa ni awe raia wa Tanzania.awe na umri wa kuanzia miaka 21,ajue kusoma na kuandikwa kwa kiswahili, asiwe ametiwa hatiani kwa kosa la jinai au kukwepa kodi ndani ya miaka mitano nk.
Sasa wewe Hiyo sifa ya darasa la saba umeitoa wapi?.
Hamis Tabasamu songa mbele,achana na wapiga majungu