Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama cha Mapinduzi, CCM, kama Chama Tawala, kinatakiwa kuondoa tongotongo machoni mwake, kielewe uhalisia wa Nchi yetu.Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.
Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.
Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.
Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
Msigwa mwenyewe kasema uwongo kwamba 'akihamia CCM wananchi wachome moto nyumba na mali zake'. Je, hapa alikuwa anasema ukweli? Sasa kama hakusema ukweli, atakayosema ya Mbowe nani ataamini kwamba anasema ukweli?Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.
Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.
Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.
Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
Ndiyo makubaliano yao kila anayenunuliwa amseme vibaya MboweNi jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.
Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.
Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.
Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
KabisaMbowe awe dikteta au hapana au iwe SACCOS au hapana haisaidii tunataka utatuzi wa kero za wananchi. Tuache propoganda za kitoto, watanzania wa 2024 ni kizazi kipya kinaufahamu.
Kumsema Mbowe haitusaidii sisi wananchiSiyo kila adui unamuombea njaa na siyo kila mara upige kwenye mshono ndipo ushindi upatikane. Kila taasisi ina weakness na strength. Usifunike makosa ya CCM kwa madhaifu ya chadema. Madhaifu ya watawala ni hatari zaidi kwa vile wako madarakani
Chadema wakitaka wawe washindi katika hili wasihangaike naye kabisa! Wafanye as if hajahama chama. Yote atayosema wasijibu kitu (wapuuze) na waendelee na mambo yao. Yeye mwenyewe ataona aibu. Ni kama mtu akufokee (maana anataka ukimjibu muanze kuzipiga) halafu wewe badala ya kumjibu, uendelee na mambo yako na usionyeshe kwamba amekukera. Baadaye atakapojitafakari reaction aliyotarajia hakuipata kutoka kwako, atajisemea "sasa nimefanya nini, si ningenyamaza tu? Ona sasa kila mtu aliyesikia maneno yangu ananiona mpuuzi!" Hii mbinu ambayo tunaipuuza, lakini psychologically ni very effective?Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.
Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.
Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.
Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
Uko sahihi kabisa, kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mpumbavu.Chadema wakitaka wawe washindi katika hili wasihangaike naye kabisa! Wafanye as if hajahama chama. Yote atayosema wasijibu kitu (wapuuze) na waendelee na mambo yao. Yeye mwenyewe ataona aibu. Ni kama mtu akufokee (maana anataka ukimjibu muanze kuzipiga) halafu wewe badala ya kumjibu, uendelee na mambo yako na usionyeshe kwamba amekukera. Baadaye atakapojitafakari reaction aliyotarajia hakuipata kutoka kwako, atajisemea "sasa nimefanya nini, si ningenyamaza tu? Ona sasa kila mtu aliyesikia maneno yangu ananiona mpuuzi!" Hii mbinu ambayo tunaipuuza, lakini psychologically ni very effective?
Nasisi tutamwaga anavyowanyandua kondoo wakeKwa hiyo Msigwa atatembea nchi nzima kuwa tatizo la Watanzania ni udikteta wa Mbowe? Kwamba akiacha udikteta maisha ya Watanzania yatakuwa Bora?
Mpumbavu kama Msigwa hakuna haja ya kupoteza muda kujibishana naye ni wa kumpuuza. Ngoja wahangaike naye wakimchoka wanamuulia mbali nakutupa kwenye hifadhi ya Katavi fisi wenye madoadoa wafanye karamu.Nasisi tutamwaga anavyowanyandua kondoo wake
Kwanza mpaka sasa amekwisha yasema mara Saccos mara dikteta hana jipya tena,atasema nini zaidi. huyo kwisneyUko sahihi kabisa, kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mpumbavu.
Ni wengi hawana idadi. CCM wana bahati sana watanzania hawajitambui la sivyo wangewaporomosha na mawe. Badala ya kuzungumzia maendeleo ya nchi wanamaliza fedha kuzungumza umbeya.Walizunguka na Mashinji leo hii kapotea
Upinzani ambao ni mbaya na vita kubwa iko ndani ya ccm,ngoma bado.Mpangomkakati wa CCM juu ya Msigwa ni kumjaza upepo apite nchi nzima kuitukana Chadema na viongozi wake kisha wamuue ili ionekane ni Chadema ndiyo wamemuua. Msigwa anatumika kijinga sana na kuhatarisha maisha yake, CCM ni mashetani kabisa.
Kinachonisikitisha ni jinsi Msigwa anavyogeuzwa kikaragosi na watu ambao siku zote amewaita akili ndogo leo hii anawakabidhi akili zake anabakishiwa za kuisema Chadema tu. Ukifanya ulinganisho, uwezo wa Makalla wa kujenga hoja ni kama 10% tu ya uwezo wa Msigwa yule wa Chadema, eti leo hii Makalla ndiye wa kumfundisha Msigwa nini cha kusema !Kwanza mpaka sasa amekwisha yasema mara Saccos mara dikteta hana jipya tena,atasema nini zaidi. huyo kwisney