Pre GE2025 CCM kuzunguka na Msigwa eti kusema mabaya ya Mbowe ni ukosefu wa Hoja na sera. Wananchi tuna Agenda zetu muhimu kitaifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona imekuwa ndo mtindo wa mambo ya siasa dunia nzima!
Habari sana ...!!
 
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.

Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.

Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.

Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
Chama cha Mapinduzi, CCM, kama Chama Tawala, kinatakiwa kuondoa tongotongo machoni mwake, kielewe uhalisia wa Nchi yetu.
CHADEMA haipendwi kutokana na uwepo wa Mbowe, Lissu, Pambalu au mtu yeyote binafsi.
CHADEMA ipo ndani ya vichwa vya watu kwa sababu ni SAUTI MBADALA.
Business as usual ni kitu kilichopitwa na wakati.
Watanzania tunataka Viongozi sikivu, wanaojali maslahi ya Nchi yetu.
Hatupendezwi na Ardhi yetu kupewa Waarabu.
Hatufurahishwi na Wageni kuja kupata AJIRA kwenye BANDARI zetu wakati Vijana Wasomi wanazurura Mitaani bila kazi.
Leo hii, awepo Mbowe au asiwepo.
Awepo Tundu Antipas mwana wa Lissu au asiwepo, Watanzania wataendelea kupigania mabadiliko.
Uhujumu wa Nchi yetu unaofanywa na CCM hautaweza kuvumiliwa milele.
Loliondo, Ngorongoro, TPA, na kadhalika, na kadhalika.
Madini kuchimbwa na Wageni mpaka Baharini.
Iko siku Watanzania watachoka.
Na siku matumaini ya mabadiliko yatakapo kwisha, litaibuka Kundi jipya la Wapigania Uhuru.
Kundi la Kizazi Kipya.
'Generation Zed'
'Gen Z'
JenZii
Watawala wajifunze toka kwa jirani zetu Kenya.
 
Mpangomkakati wa CCM juu ya Msigwa ni kumjaza upepo apite nchi nzima kuitukana Chadema na viongozi wake kisha wamuue ili ionekane ni Chadema ndiyo wamemuua. Msigwa anatumika kijinga sana na kuhatarisha maisha yake, CCM ni mashetani kabisa.
 
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.

Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.

Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.

Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
Msigwa mwenyewe kasema uwongo kwamba 'akihamia CCM wananchi wachome moto nyumba na mali zake'. Je, hapa alikuwa anasema ukweli? Sasa kama hakusema ukweli, atakayosema ya Mbowe nani ataamini kwamba anasema ukweli?
 
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.

Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.

Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.

Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
Ndiyo makubaliano yao kila anayenunuliwa amseme vibaya Mbowe
 
Siyo kila adui unamuombea njaa na siyo kila mara upige kwenye mshono ndipo ushindi upatikane. Kila taasisi ina weakness na strength. Usifunike makosa ya CCM kwa madhaifu ya chadema. Madhaifu ya watawala ni hatari zaidi kwa vile wako madarakani
Kumsema Mbowe haitusaidii sisi wananchi
 
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa kwenye agenda sahihi zenye mashiko tunazotaka kusikia kama Taifa.

Tunachotaka kusikia ni namna gani raslimali za nchi zitalindwa na kutumika kwa manufaa ya watu wote, kupiga vita rushwa kwenye taasisi zetu zinazotoa huduma, ufujaji wa bajeti na fedha, deni la taifa, maisha magumu na elimu bora.

Siyo kutuambia nini kilichokutoa Chadema kiitikadi. tutajuaje kama uyasemayo ni ya kweli Msigwa wasikufanye ccm wewe ni kinyago.

Tunaomba agenda za kitaifa lakini siyo kutembeza sura za akina Msigwa na Upendo Peneza.
Chadema wakitaka wawe washindi katika hili wasihangaike naye kabisa! Wafanye as if hajahama chama. Yote atayosema wasijibu kitu (wapuuze) na waendelee na mambo yao. Yeye mwenyewe ataona aibu. Ni kama mtu akufokee (maana anataka ukimjibu muanze kuzipiga) halafu wewe badala ya kumjibu, uendelee na mambo yako na usionyeshe kwamba amekukera. Baadaye atakapojitafakari reaction aliyotarajia hakuipata kutoka kwako, atajisemea "sasa nimefanya nini, si ningenyamaza tu? Ona sasa kila mtu aliyesikia maneno yangu ananiona mpuuzi!" Hii mbinu ambayo tunaipuuza, lakini psychologically ni very effective?
 
Uko sahihi kabisa, kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mpumbavu.
 
Nasisi tutamwaga anavyowanyandua kondoo wake
Mpumbavu kama Msigwa hakuna haja ya kupoteza muda kujibishana naye ni wa kumpuuza. Ngoja wahangaike naye wakimchoka wanamuulia mbali nakutupa kwenye hifadhi ya Katavi fisi wenye madoadoa wafanye karamu.
 
Ngoja awashobokee tu hao wahuni mwisho wa siku wamlambishe sumu. Huyo anatumika tu kama condom.
 
Kati ya maswali ambayo sijawahi kujibiwa kisawa sawa ni iwapo kweli upinzani uliopo hasa chadema unastahili kushughulikiwa kwa nguvu kubwa kiasi hiki? Nionavyo mimi upinzani uko ndani ya chama kuliko nje...
 
Walizunguka na Mashinji leo hii kapotea
Ni wengi hawana idadi. CCM wana bahati sana watanzania hawajitambui la sivyo wangewaporomosha na mawe. Badala ya kuzungumzia maendeleo ya nchi wanamaliza fedha kuzungumza umbeya.
 
Mpangomkakati wa CCM juu ya Msigwa ni kumjaza upepo apite nchi nzima kuitukana Chadema na viongozi wake kisha wamuue ili ionekane ni Chadema ndiyo wamemuua. Msigwa anatumika kijinga sana na kuhatarisha maisha yake, CCM ni mashetani kabisa.
Upinzani ambao ni mbaya na vita kubwa iko ndani ya ccm,ngoma bado.
 
Kwanza mpaka sasa amekwisha yasema mara Saccos mara dikteta hana jipya tena,atasema nini zaidi. huyo kwisney
Kinachonisikitisha ni jinsi Msigwa anavyogeuzwa kikaragosi na watu ambao siku zote amewaita akili ndogo leo hii anawakabidhi akili zake anabakishiwa za kuisema Chadema tu. Ukifanya ulinganisho, uwezo wa Makalla wa kujenga hoja ni kama 10% tu ya uwezo wa Msigwa yule wa Chadema, eti leo hii Makalla ndiye wa kumfundisha Msigwa nini cha kusema !
 
Back
Top Bottom