Tulipeana onyo kuhusu kutoingiza maisha binafsi ya mtu na kampeni za uchaguzi wa mwaka huu ktk ngazi yoyote ile,tulitoa rai pia hata kwa vyombo vya habari vyenye mtazamo wa kuandika maisha binafsi ya watu waache mara moja,inaonekana huu ni mkakati maalumu wa chama hiki kizee na hata wizara husika imekaa kimya juu ya vyombo hivyo vyenyye kuingilia maisha binafsi ya watu tena vinavyomilikiwa na rostam kada wa ccm na kinara wa wizi wa epa,leo wameendelea kuandika maisha binafsi ya dr slaa huku wakisahau onyo la baraza la habari tanzania kuhusu miiko ya uandishi,wanasema akuanzae mmalize,huyo mgombea wao kama alikuwa hana taarifa,wampe sasa ya kuwa eva wa arusha afya yake ni mbaya na yupo kitandani kwa sasa hoi taabani,ukiwa arusha kwenye kampeni zako jaribu kumtafuta kwani hawala hana talaka.