Elections 2010 CCM kwa hili tusilaumiane

Elections 2010 CCM kwa hili tusilaumiane

masasi

Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
48
Reaction score
0
Tulipeana onyo kuhusu kutoingiza maisha binafsi ya mtu na kampeni za uchaguzi wa mwaka huu ktk ngazi yoyote ile,tulitoa rai pia hata kwa vyombo vya habari vyenye mtazamo wa kuandika maisha binafsi ya watu waache mara moja,inaonekana huu ni mkakati maalumu wa chama hiki kizee na hata wizara husika imekaa kimya juu ya vyombo hivyo vyenyye kuingilia maisha binafsi ya watu tena vinavyomilikiwa na rostam kada wa ccm na kinara wa wizi wa epa,leo wameendelea kuandika maisha binafsi ya dr slaa huku wakisahau onyo la baraza la habari tanzania kuhusu miiko ya uandishi,wanasema akuanzae mmalize,huyo mgombea wao kama alikuwa hana taarifa,wampe sasa ya kuwa eva wa arusha afya yake ni mbaya na yupo kitandani kwa sasa hoi taabani,ukiwa arusha kwenye kampeni zako jaribu kumtafuta kwani hawala hana talaka.
 
Tulipeana onyo kuhusu kutoingiza maisha binafsi ya mtu na kampeni za uchaguzi wa mwaka huu ktk ngazi yoyote ile,tulitoa rai pia hata kwa vyombo vya habari vyenye mtazamo wa kuandika maisha binafsi ya watu waache mara moja,inaonekana huu ni mkakati maalumu wa chama hiki kizee na hata wizara husika imekaa kimya juu ya vyombo hivyo vyenyye kuingilia maisha binafsi ya watu tena vinavyomilikiwa na rostam kada wa ccm na kinara wa wizi wa epa,leo wameendelea kuandika maisha binafsi ya dr slaa huku wakisahau onyo la baraza la habari tanzania kuhusu miiko ya uandishi,wanasema akuanzae mmalize,huyo mgombea wao kama alikuwa hana taarifa,wampe sasa ya kuwa eva wa arusha afya yake ni mbaya na yupo kitandani kwa sasa hoi taabani,akiwa arusha kwenye kampeni zake ajaribu kumtafuta kwani hawala hana talaka.

Sijakuelewa hapo ndg yangu....unaweza ukafafanua kidogo??????
 
Haya bwana, naona sasa mambo yamekuwa mambo? JK ana hawala anaitwa Eva ambaye yuko kaput kitandani akisubiri uamuzi wa Israel?? Hata hivyo sidhani kama hili litakuwa jambo la kushangaza wengi!!
 
Haya bwana, naona sasa mambo yamekuwa mambo? JK ana hawala anaitwa Eva ambaye yuko kaput kitandani akisubiri uamuzi wa Israel?? Hata hivyo sidhani kama hili litakuwa jambo la kushangaza wengi!!

Hivi na yule binti wa ASAS (mwenye kampuni ya Maziwa ) ni kiburudisho chake pia?
Je! Waliwahi kuvinjari naye RUAHA park wakati fulani?

Ni maswaala tu ...hapana ni MASWALI tu.
 
Haya bwana, naona sasa mambo yamekuwa mambo? JK ana hawala anaitwa Eva ambaye yuko kaput kitandani akisubiri uamuzi wa Israel?? Hata hivyo sidhani kama hili litakuwa jambo la kushangaza wengi!!

N dugu yangu kuwa muwazi zaidi kwa hili,hujaeleweka
 
Okkkkkkkkkkkkkkkkk ndio maana kila siku jamaa anazimika tu.Haya sasa siri zinaanza kufichuka taratibuuuuuuuu.
 
Kwa Makamba kuanza kumchambua Dr. Slaa, sasa ruksa kumjadili JK, tuanzie na afya yake. JK ana kifafa, na kwa vile ugonjwa huu uko katika mfumo wa ubongo wa mgonjwa ni dhahiri kuwa JK hafai kuwa rais. Na shangaa hata Chadema kutojumuisha hoja ya afya ya JK katika pingamizi walilomwekea.
 
Hivi na yule binti wa ASAS (mwenye kampuni ya Maziwa ) ni kiburudisho chake pia?
Je! Waliwahi kuvinjari naye RUAHA park wakati fulani?

Ni maswaala tu ...hapana ni MASWALI tu.
jama! jama! angalieni! mi sijasema
 
Tulipeana onyo kuhusu kutoingiza maisha binafsi ya mtu na kampeni za uchaguzi wa mwaka huu ktk ngazi yoyote ile,tulitoa rai pia hata kwa vyombo vya habari vyenye mtazamo wa kuandika maisha binafsi ya watu waache mara moja,inaonekana huu ni mkakati maalumu wa chama hiki kizee na hata wizara husika imekaa kimya juu ya vyombo hivyo vyenyye kuingilia maisha binafsi ya watu tena vinavyomilikiwa na rostam kada wa ccm na kinara wa wizi wa epa,leo wameendelea kuandika maisha binafsi ya dr slaa huku wakisahau onyo la baraza la habari tanzania kuhusu miiko ya uandishi,wanasema akuanzae mmalize,huyo mgombea wao kama alikuwa hana taarifa,wampe sasa ya kuwa eva wa arusha afya yake ni mbaya na yupo kitandani kwa sasa hoi taabani,ukiwa arusha kwenye kampeni zako jaribu kumtafuta kwani hawala hana talaka.

Kwani Eva hana contakti zake?? au ndo yuko Mautiuti... hebu nielekeze aliko nikaongoze sala ya toba
 
Umeanza vizuri lakini baadaye ukatuacha njia panda. Simma mtoto wa kiume umwage data kisawasawa
 
Hivi na yule binti wa ASAS (mwenye kampuni ya Maziwa ) ni kiburudisho chake pia?
Je! Waliwahi kuvinjari naye RUAHA park wakati fulani?

Ni maswaala tu ...hapana ni MASWALI tu.

Katika eneo wasaidizi wake wanapata shida ni wakati anapokuwa na huyo binti, kwani hasikii wala hambiliki. Kuna siku alimkumbatia hazarani, wasaidi wake wakawai kumchomoa haraka huyo mama.
 
Mimi sijawai kuona kampeni ambayo aina chembechembe ya rough hata kidogo labda za mwaka huu. CCM inaogopa nini hasa? Hata kule Marekani walichimbua ya Kasisi wa Obama kule kanisani kwake na ikawa kasheshe! Sembuse sisi tunaoibiwa kila kukicha na wenye kushika dola? Kuna ubaya gani watu wakisema JK anatanua sana? Nayo ni matuzi?
 
huyo biint wa asas yuko nae had hivi sasa
 
N dugu yangu kuwa muwazi zaidi kwa hili,hujaeleweka

Mkuu mbona hata mimi nilikuwa najaribu kuisumbua akili yangu? Umeziona hizo alama za namna hii...??? Labda tuzidi kumwomba mleta mada atumegee zaidi:confused2::confused2::confused2:
 
Back
Top Bottom