CCM kwa sasa ina machaguo mawili tu. Kumtosa Rais Samia na wenzie waliotufikisha hapa ianze upya au kuikosa Ikulu 2025

Nadhani unatafuta nikutafutie muda mzuri nikuchambue na hilo andiko lako hafifu vizuri.
Nipe muda, nitakuja kukusoma vizuri na kukuachia nitakayokuwa nayo juu ya andiko lako hilo bovu.
Yes,mkuki umefika mahali pake,pole.Inawezeka wewe ni mmoja wa washauri wabovu kabisa wa Samia.Mmemuingiza mama wa watu choo cha kike,namhurumia sana frankly.
 
Yes,mkuki umefika mahali pake,pole.Inawezeka wewe ni mmoja wa washauri wabovu kabisa wa Samia.Mmemuingiza mama wa watu choo cha kike,namhurumia sana frankly.
Duh!
Naona akili yako ipo chini sana mkuu 'Mathanzua', kuweza kuelewa unachoelezwa hapa.
Kichwa cha mada yako ni kizuri, kinaeleweka, lakini mengi ya uliyoandika humo ndani ya mada yenyewe ni kama ulikuwa kwenye kilevi. Kadri ulivyoendelea na uandishi na kubugia kilevi, akili inazidi kuvurugika usijue ulianza na nia ya kuandika juu ya kitu gani.
Sasa unakuja hapa kunililia nikuonyeshe ulivyokengeuka na mada yako?
Niliahidi nitafanya hivyo, bado huelewi?
 
Ccm ilishafeli zamani mno, Ila raia bado wana imani nayo.
 
Hadi Samia aondoke, kama sijawa tajiri nipigeni mawe.
 
ili awekwe mamako, we nenda kaharishe huo uvundo wako
 
tumbo lako ndio limechafuka nchi yetu iko salama
 
Kama leo ukienda hospital musamaha kwa wazee imefutwa.wakati toka enzi za JK ilikuepo.CCM ya sasa imefilisika.
 
Ulivyoanza kuandika utadhani nchi hii si mahali salama kabisa kuishi.
 
Nguvu ya CCM iko hapa
 
Naaani wa kumtosa? Naaani wa kuthubutu kumgusa mwenyekiti? Hajazaliwa bado!! πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Ishi humo!!
Huu ni upofu wa kupindukia.So mnawafanyia Watanzania uovu kwa kuwa mnaamini hakuna wa kuwaondoa!!!!Huo ni uovu wa kupindukia.Anyway niwakumbushe tu kwamba lililo na mwanzo lina mwisho.
 
Ulivyoanza kuandika utadhani nchi hii si mahali salama kabisa kuishi.
Ni kweli,si mahali salama pa kuishi kabisa,anything can happen anytime.Kilichotokea Mali,Burkina Faso na Niger kinaweza kutokea hapa kwetu,mazingira ni yake yale.
 
Huu ni upofu wa kupindukia.So mnawafanyia Watanzania uovu kwa kuwa mnaamini hakuna wa kuwaondoa!!!!Huo ni uovu wa kupindukia.Anyway niwakumbushe tu kwamba lililo na mwanzo lina mwisho.
Mzee hapo nimewapa tips juu ya nan wa kudiriki kumzuia mwenyekiti wao wa CCM jibu ni hakuna na nimetoa reference ya kigwangala!!
 
Mzee hapo nimewapa tips juu ya nan wa kudiriki kumzuia mwenyekiti wao wa CCM jibu ni hakuna na nimetoa reference ya kigwangala!!
1.Ziko wapi hizo tips?
2.Statement yako inaji-contradict,check it.
 
Wananchi Hawa Hawa ndio wamechoka au unazungumzia wananchi wa taifa gani

Ccm inajiamini Sana hat wamejuwa kbsa hate tupige kelele VIP ss hatuwezi kufanyatafiti lolote pia ,,baada ya ccm kugundua kuwa cc Ni vilaza wameamua kufanya lolote juu ya Mali na rasilimali za inch hi na hakuna wa kupinga

Jana nimesikia boda dar wameandamana wanataka dp aje Mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…