Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Siku hizi viongozi wa chama na serikali wamekuja na mtindo wa kuandaa mashindo na challenges mbalimbali za kimifumo, andiko nk
Na lengo la mashindano hayo wao wanasema ni kulenga kutatua changamoto zinazolikabiri taifa letu mfano wa challenges zilizowahi kufanyika ni pamoja na;
Challenge ya namna ya kutatua msongamano wa magari dar hii ilitangazwa na Mh Ulega
Challenge ya Andiko la uchumi lilitangazwa na Mh Joel Nanauka
Matamasha mengine yaliyowahi kufanyika yenye mlengo kama huo ni pamoja na
Samia Festival,
Samia kalamu Awards
Never Again nk
Sasa kwanini msitangaze shindano kwa vijana wataalamu wa mifumo wakae wabuni mfumo utakaowezesha zoezi la upigaji kura kufanyika kwa njia ya mtandao ?
Kwasababu naamini Moja ya changamoto zinazolikabiri taifa letu ni pamoja na wizi wa kura kwa njia ya makaratasi ila tukijikita kwenye matumizi ya mifumo Bora ya kiteknolojia tunaweza kudhibiti hali hiyo na taifa letu likarudi kusifika kama kisiwa Cha Aman.