CCM kwenye marufuku ya mifuko ya plastiki (rambo) ndipo mlipofanikiwa

CCM kwenye marufuku ya mifuko ya plastiki (rambo) ndipo mlipofanikiwa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sijaona mafanikio yoyote ya maana kwa miaka kumi iliyopita zaidi ya kupiga vita matumizi ya mifuko ya Rambo hapo ndipo nilipowakubali na kuona kweli mmefanya kitu akili zilitumika ila kwingine kote naona hakuna ustawi.

Sijui labda pengine kwa kuwa Mimi sio mzungukaji sana kwahivyo sijatembelea miradi inayosemekana inajengwa nijionee kama kweli inapunguza umaskini au malomoni tu.

Ila nikijisemea Mimi kama imi mkazi wa Singida basi naapa na mwenyezi Mungu ni shahidi wa dhamiri yangu kwamba hakuna kitu hakuna kiwanda kilichojengwa chenye uwezo wa kuajiri angalau hata vijana 100 tu.

Hakuna hakipo kwa miaka yote ya rais Magufuli sijaona jipya isipokuwa barabara chache kujengwa vizuri na kuwekewa mataa hilo nawapongeza ila kwingine sijaona kitu kipya kabisa sisemi uongo nasema ukweli ama ni umeme basi usambazaji wake upo taratibu sana viko vijiji mpaka leo hatuna umeme na viko barabara kuu mnaopita njia ya arusha ni mashahidi kwenye huduma za afya sijaona nako nimetembea naona vituo vya enzi ya kikwete. Kama maendeleo basi watu wanakomaa waacheni ila nyie mambo yenu ni ya udokozi na tunajua sana.
 
Maendereo pekee aliotuachia bwana mecco ni kuwaweka mabalabalani ndugu zetu na kuwabebesha ma vitambulisho yasiokua na saini wizi sasa wanabaki kupalamiwa na masemi ya mizigo yanapo acha njia shenzi sana
 
Back
Top Bottom