Toa utopolo wako, pentagon ndio kina nani?. Tanzania ni nchi huru, bakini na hao mabeberu zenu sisi twasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.PENTAGON makao makuu ya ulinzi ya Jeshi la marekani ama THINK TANK wameshamuonya sana Magufuri na Tabia zake za UDIKTETA.
Watanzania wengi sana Hawampendi Magufuli.
HAKIKA JIWE ANA Kazi ngumi sana 2020.
Dunia haimtaki.
Toa utopolo wako, pentagon ndio kina nani?. Tanzania ni nchi huru, bakini na hao mabeberu zenu sisi twasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.
Humu wasiompenda hawazidi 20.Na hao ni geresha tu ili kutia moyo wenzao ila tarehe 28 Tanzania wote kwa ujumla wetu tunaruka juu na Jpm. Tanzania Hoyee, ccm Hoyee.Huku mitandaoni hapendwi,lakini uraiani anapendwa hatari,vijijini huko walikowekewa umeme wa Tsh.27000 utawaambia nini kuhusu magufuri?
Ha ha ha eti kwa heri umaskini. Nani wa kuwatolea umaskini, huyu kibaraka wa Amsterdam? Chadema wote mule maskini tajiri mwenye chama Mbowe tu wengine wote wachumia tumbo. Mbowe kawaweza safari hii, mtakamuliwa mpaka macho2020 Ndipo utakapowajua THINKTANK .
Wakitoa msaada Wahisani. Wakitaka haki na sheria MABEBERU. HAWAMTAKI JPM.
1.Mauaji ya watu na kutupwa kwenye mafukwe ya Bahari.
2.Kumteka Mo.
3. Kumpiga Lissu lisasi kwa lengo la kumuua.
4.Kumuua Akwilina.
.Kuzuia mikutano ya kisiasa na UTOPOLO WAKE MWINGI KUMEMPONZA
Wewe na nani unamtaka JPM.
DUNIA HAIMTAKI DIKTETA UCHWARA wa maendeleo ya kukandamiza vyombo vya habari na KUNUNUA WABUNGE WA UPINZANI..
BYE BYE JIWE KWAHERI CCM KWAHERI UMASIKINI.
#2020 NI YEYE
Jaribu kuficha ujinga wako, sema humpend ww peke yako,jifunze kuandka fara wwPENTAGON makao makuu ya ulinzi ya Jeshi la marekani ama THINK TANK wameshamuonya sana Magufuri na Tabia zake za UDIKTETA.
Watanzania wengi sana Hawampendi Magufuli.
HAKIKA JIWE ANA Kazi ngumi sana 2020.
Dunia haimtaki.
Jiwe hafai hata kidgo, kwanza ni maskini na mshamba sana, Jogoo oyeeeeeeeToa utopolo wako, pentagon ndio kina nani?. Tanzania ni nchi huru, bakini na hao mabeberu zenu sisi twasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.
2020 ndipo utajua THINKTANK NI AKINA NANI NA MAJASUSI WAO.Toa utopolo wako, pentagon ndio kina nani?. Tanzania ni nchi huru, bakini na hao mabeberu zenu sisi twasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.
Maskini ndo tupo weng! Tutamchangua maskini mwezetuJiwe hafai hata kidgo, kwanza ni maskini na mshamba sana, Jogoo oyeeeeeee
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kwani watu wa kwenye mitandao wanaishi wapi mkuu?Huku mitandaoni hapendwi,lakini uraiani anapendwa hatari,vijijini huko walikowekewa umeme wa Tsh.27000 utawaambia nini kuhusu magufuri?
Hata mimi Jiwe skimkubali hata kiutani tuJaribu kuficha ujinga wako, sema humpend ww peke yako,jifunze kuandka fara ww
Hawawezi kuzibua pamba mpaka wazibuliwe tarehe 28-10-2020Leo 13/10/2020 nilikuwa crdb banki, wakati tupo kwenye foleni ndani ya hii banki niliwakuta watumishi watatu wa serikali
1) Alikuwa ni mwanamke ambaye ni mwalimu,huyu mama alikuwa analalamika kuwa serikali ndani ya miaka 5 haijawaongezea mshahara hata kidogo,kutokana na ufinyu wa mshahara wake amekuja kukopa crdb akamlipie ada mtoto wake wa chuo.huyu mama kwa sumu aliyokuwa nayo mdomoni pake,kama anaitwa kwa wanawake wenzake wa kazini kwake na anapoishi,hakika CCM mnakazi na hawa watumishi wenu
2) Alikuwa mzee ambaye amestaafu kazi mwaka huu mwezi wa 3 hadi leo analalamika hajapewa pesa yake,huyu mzee anaongea kwa uchungu sana.anasema amelazimika kuja kukopa banki ili ampeleke mwanae chuo. na anawatoto wawili ambao wamemaliza masomo yao ya chuo toka mwaka 2017 hadi leo hawana ajira wapo tu nyumbani.huyu mzee ukimsikiliza vizuri utamwonea huruma.CCM mpo wapi kuwasemea hawa wafanyakazi wa serikali?
3) Alikuwa ni mfanyakazi bado yupo kazini ambaye ni polisi.huyu bwana alikuwa analalamikia mshahara wao mdogo na wao hawajapandishiwa.ila wao hawana uwezo wa kuongea kwa wakubwa wao.
CCM;haya malalamiko ya watu yamekuwa mengi sana,jiangalieni sana