CCM, malalamiko ya watu yamekuwa mengi sana, jiangalieni sana

Mzee wangu kasitaafu tangu mwaka Jana mwezi wa saba hadi Leo hawajampa chochote zaidi tu wanampa ule nusu mshahara sa sijui mnataka mzee wangu afe kabla hata jasho lake hajaonja ccm uneeni huruma wazee wetu.
 
Toa utopolo wako, pentagon ndio kina nani?. Tanzania ni nchi huru, bakini na hao mabeberu zenu sisi twasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.
Tunaongea mambo ya msingi nenda kaogeshe watoto ukimaliza wape uji...
 
Leo 13/10/2020 nilikuwa crdb banki, wakati tupo kwenye foleni ndani ya hii banki niliwakuta watumishi watatu wa serikali
1) alikuwa ni mwanamke ambaye ni mwalimu,huyu mama alikuwa analalamika kuwa serikali ndani ya miaka 5 haijawaongezea mshahara hata kidogo,kutokana na ufinyu wa mshahara wake amekuja kukopa crdb akamlipie ada mtoto wake wa chuo.huyu mama kwa sumu aliyokuwa nayo mdomoni pake,kama anaitwa kwa wanawake wenzake wa kazini kwake na anapoishi,hakika CCM mnakazi na hawa watumishi wenu
2)alikuwa mzee ambaye amestaafu kazi mwaka huu mwezi wa 3 hadi leo analalamika hajapewa pesa yake,huyu mzee anaongea kwa uchungu sana.anasema amelazimika kuja kukopa banki ili ampeleke mwanae chuo. na anawatoto wawili ambao wamemaliza masomo yao ya chuo toka mwaka 2017 hadi leo hawana ajira wapo tu nyumbani.huyu mzee ukimsikiliza vizuri utamwonea huruma.CCM mpo wapi kuwasemea hawa wafanyakazi wa serikali?
3)alikuwa ni mfanyakazi bado yupo kazini ambaye ni polisi.huyu bwana alikuwa analalamikia mshahara wao mdogo na wao hawajapandishiwa.ila wao hawana uwezo wa kuongea kwa wakubwa wao.

CCM;haya malalamiko ya watu yamekuwa mengi sana,jiangalieni sana
Kupanga ni kuchagua hawa walichagua kupokea mshahara mara moja kwa mwezi
 
Ccm ni wakoloni weusi
 
Toa utopolo wako, pentagon ndio kina nani?. Tanzania ni nchi huru, bakini na hao mabeberu zenu sisi twasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.
CCM mmepora fedha za wanyonge...mmefuta FAO la kujitoa

Kwa Nini NSSF hawalipi mafao ya Watu?

Ni akiba za watu, kwa Nini Magufuli aliondoa FAO la kujitoa?

Ni Wizi wa mchana kweupe
 
Mambo yanayofanywa na ccm ni ya kikagaidi kabisa.Mambo yaliyofanyika chato Jana ni zaidi ya ugaidi..
 
Huku mitandaoni hapendwi,lakini uraiani anapendwa hatari,vijijini huko walikowekewa umeme wa Tsh.27000 utawaambia nini kuhusu magufuri?

Hao wanaompenda hawawezi kuingia mitandaoni?
 
Toa utopolo wako, pentagon ndio kina nani?. Tanzania ni nchi huru, bakini na hao mabeberu zenu sisi twasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.
we nguruwe pori unamfokea nani ,ungekuwa karibu ningekuzaba makofi ,punda pori kweli wewe
 
Huku mitandaoni hapendwi,lakini uraiani anapendwa hatari,vijijini huko walikowekewa umeme wa Tsh.27000 utawaambia nini kuhusu magufuri?
Unachosema ni kweli,ila kuna watanzania wanaumizwa sana na hii serikali.
 
Ewe Mtumishi wa uma, siku ya tarehe 28 October 2020, chagua Tundu Lissu kwa maendeleo yako na ustawi wa maisha yako. Usifanye makosa kuchagua tena Magufuli mwenye roho mbaya kwa watumishi wa umma (Miaka 5 bila nyongeza ya mshahara, bila ya kupandishwa madaraja, bila ajira kwa wahitimu wa vyuo, malimbikizo ya nauli na stahiki mbali mbali).
 
CCM wakaondoa FAO la kujitoa ili wapore Pesa, wajaze Mabango barabarani.

Rudisha FAO la kujitoa Magufuli, acha kunyanyasa wanyonge.

Bureau De Change .... rudisha Pesa
 
Mzee wangu kasitaafu tangu mwaka Jana mwezi wa saba hadi Leo hawajampa chochote zaidi tu wanampa ule nusu mshahara sa sijui mnataka mzee wangu afe kabla hata jasho lake hajaonja ccm uneeni huruma wazee wetu.
Hela inanunua ma V8 anayotutambia Polepole.
 
Tatizo la CCM hawajali shida za Watanzania. Muhimu kwao ni kutawala milele. Watanzania wafe kwa mafuriko CCM hawajali, Watanzania wapigwe na radi CCM hawajali, Watanzania wale mlo mmoja kwa siku CCM hawajali, Polisi wakiwa "slaughter" Watanzania CCM hawajali.

Kwa CCM muhimu kwao ni kuendeleza "dynasty" yao na hasa kwa sasa ambapo CCM inaongozwa na "immigrants" watatu!!!
 
Humu wasiompenda hawazidi 20.Na hao ni geresha tu ili kutia moyo wenzao ila tarehe 28 Tanzania wote kwa ujumla wetu tunaruka juu na Jpm. Tanzania Hoyee, ccm Hoyee.
Sema unaruka na JPM sio tunaruka na JPM.
 
Hizi porojo na propaganda zenu za kipuuzi unadhani zitawaepushia mkong'oto wa Oct 28?. Mbowe na genge lake wamegundua hakuna mtu anawataka, so mmekuja na strategy ya kudunisha kazi kubwa anazofanya Rais wetu ili watu wamwone hafai, dikteta bazazi kama Mbowe na saccos yake. Mmeshindwa na kulegea kabisa ninyi na kina Amsterdam wenu.
Taratibu sheikh, kipi cha uwongo hapo?
 
Hizi porojo na propaganda zenu za kipuuzi unadhani zitawaepushia mkong'oto wa Oct 28?. Mbowe na genge lake wamegundua hakuna mtu anawataka, so mmekuja na strategy ya kudunisha kazi kubwa anazofanya Rais wetu ili watu wamwone hafai, dikteta bazazi kama Mbowe na saccos yake. Mmeshindwa na kulegea kabisa ninyi na kina Amsterdam wenu.
Tulia basi mtoto wa kike dawa iingie usisababishe sindano ikavunjika kwa jinsi unavyokata uno.
 
Back
Top Bottom