CCM, malalamiko ya watu yamekuwa mengi sana, jiangalieni sana

Mzee wangu kasitaafu tangu mwaka Jana mwezi wa saba hadi Leo hawajampa chochote zaidi tu wanampa ule nusu mshahara sa sijui mnataka mzee wangu afe kabla hata jasho lake hajaonja ccm uneeni huruma wazee wetu.
 
Toa utopolo wako, pentagon ndio kina nani?. Tanzania ni nchi huru, bakini na hao mabeberu zenu sisi twasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.
Tunaongea mambo ya msingi nenda kaogeshe watoto ukimaliza wape uji...
 
Kupanga ni kuchagua hawa walichagua kupokea mshahara mara moja kwa mwezi
 
Ccm ni wakoloni weusi
 
Toa utopolo wako, pentagon ndio kina nani?. Tanzania ni nchi huru, bakini na hao mabeberu zenu sisi twasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.
CCM mmepora fedha za wanyonge...mmefuta FAO la kujitoa

Kwa Nini NSSF hawalipi mafao ya Watu?

Ni akiba za watu, kwa Nini Magufuli aliondoa FAO la kujitoa?

Ni Wizi wa mchana kweupe
 
Mambo yanayofanywa na ccm ni ya kikagaidi kabisa.Mambo yaliyofanyika chato Jana ni zaidi ya ugaidi..
 
Huku mitandaoni hapendwi,lakini uraiani anapendwa hatari,vijijini huko walikowekewa umeme wa Tsh.27000 utawaambia nini kuhusu magufuri?

Hao wanaompenda hawawezi kuingia mitandaoni?
 
Toa utopolo wako, pentagon ndio kina nani?. Tanzania ni nchi huru, bakini na hao mabeberu zenu sisi twasonga mbele na JPM kujiletea maendeleo.
we nguruwe pori unamfokea nani ,ungekuwa karibu ningekuzaba makofi ,punda pori kweli wewe
 
Huku mitandaoni hapendwi,lakini uraiani anapendwa hatari,vijijini huko walikowekewa umeme wa Tsh.27000 utawaambia nini kuhusu magufuri?
Unachosema ni kweli,ila kuna watanzania wanaumizwa sana na hii serikali.
 
Ewe Mtumishi wa uma, siku ya tarehe 28 October 2020, chagua Tundu Lissu kwa maendeleo yako na ustawi wa maisha yako. Usifanye makosa kuchagua tena Magufuli mwenye roho mbaya kwa watumishi wa umma (Miaka 5 bila nyongeza ya mshahara, bila ya kupandishwa madaraja, bila ajira kwa wahitimu wa vyuo, malimbikizo ya nauli na stahiki mbali mbali).
 
CCM wakaondoa FAO la kujitoa ili wapore Pesa, wajaze Mabango barabarani.

Rudisha FAO la kujitoa Magufuli, acha kunyanyasa wanyonge.

Bureau De Change .... rudisha Pesa
 
Mzee wangu kasitaafu tangu mwaka Jana mwezi wa saba hadi Leo hawajampa chochote zaidi tu wanampa ule nusu mshahara sa sijui mnataka mzee wangu afe kabla hata jasho lake hajaonja ccm uneeni huruma wazee wetu.
Hela inanunua ma V8 anayotutambia Polepole.
 
Tatizo la CCM hawajali shida za Watanzania. Muhimu kwao ni kutawala milele. Watanzania wafe kwa mafuriko CCM hawajali, Watanzania wapigwe na radi CCM hawajali, Watanzania wale mlo mmoja kwa siku CCM hawajali, Polisi wakiwa "slaughter" Watanzania CCM hawajali.

Kwa CCM muhimu kwao ni kuendeleza "dynasty" yao na hasa kwa sasa ambapo CCM inaongozwa na "immigrants" watatu!!!
 
Humu wasiompenda hawazidi 20.Na hao ni geresha tu ili kutia moyo wenzao ila tarehe 28 Tanzania wote kwa ujumla wetu tunaruka juu na Jpm. Tanzania Hoyee, ccm Hoyee.
Sema unaruka na JPM sio tunaruka na JPM.
 
Taratibu sheikh, kipi cha uwongo hapo?
 
Tulia basi mtoto wa kike dawa iingie usisababishe sindano ikavunjika kwa jinsi unavyokata uno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…