Huku mitandaoni hapendwi,lakini uraiani anapendwa hatari,vijijini huko walikowekewa umeme wa Tsh.27000 utawaambia nini kuhusu magufuri?
Usiwastue kabla ya uchaguzi, waache ili watu wakalalamike kwenye mabox ya kura, hiyo ndio njia pekee ya kuwaonyesha ccm kwamba wananchi wanalalamika
Kwa shwari au shari, in Lissu's VoiceSanduku la kura hili hili ninalolijua mimi?au kuna jingine la miujiza?
Hivi kuna mtu bado anaamini mkurugenzi atatangaza ushindi kutoka upande wa pili?
ICC wanamngojea baada ya uchaguzi mkuu wanamwalika The Hague.PENTAGON makao makuu ya ulinzi ya Jeshi la marekani ama THINK TANK wameshamuonya sana Magufuri na Tabia zake za UDIKTETA.
Watanzania wengi sana Hawampendi Magufuli.
HAKIKA JIWE ANA Kazi ngumi sana 2020.
Dunia haimtaki.
AmelegeaHizi porojo na propaganda zenu za kipuuzi unadhani zitawaepushia mkong'oto wa Oct 28?. Mbowe na genge lake wamegundua hakuna mtu anawataka, so mmekuja na strategy ya kudunisha kazi kubwa anazofanya Rais wetu ili watu wamwone hafai, dikteta bazazi kama Mbowe na saccos yake. Mmeshindwa na kulegea kabisa ninyi na kina Amsterdam wenu.
Unafikiri hawajui wanajitunisha tu kwa nguvu ya dola Lakini wanajua kabisa hii ngoma bila usaidizi wa mabavu wanakwenda na maji.Usiwastue kabla ya uchaguzi, waache ili watu wakalalamike kwenye mabox ya kura, hiyo ndio njia pekee ya kuwaonyesha CCM kwamba wananchi wanalalamika.