Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM.
Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM ni imara kuliko chuma.
Tunawaomba viongozi wetu wote kuanzia Mwenyekiti wa taifa hadi Mwenyekiti wa mtaa kuto kuyumbishwa na kauli zao wanafiki na wazandiki wenye lango la kutugawanya.
Tumewasikia kina Polepole na genge lake, kina Gwajima na genge lake wote hao wanatumika kwa malengo maalumu ya kuvuruga. tuwe makini nao sana.
Sisi watanzania Wakristu kwa waislamu na hata wale wasio na dini hatuwezi kugawanywa kwa misingi ya chuki za kidini inayo chochewa na watu hao ambao nia yao ni kuvuruga amani, utulivu na maelewano miongoni mwetu, ambayo yamedumu kwa karne nyingi.