Uchaguzi 2020 CCM Mbeya mpasuko waanza mapema kabisa

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,284
Reaction score
38,364
CCM Jimbo la Mbeya wameanza kushikana uchawi mapema, wakituhumiana kusalitiana.

Jimbo la Mbeya linasiasa zake za tofauti, Dkt. Tulia hata kama atashinda kwa kutumia Dola, naamini ataongoza Jimbo kwa shida sana.

Sugu anatoboa tena katikati ya Makundi ya CCM kama chaguzi zilizopita.

Ushauri Dr Tulia tafuta Jimbo lingine, huu Moshi sio mzuri kwako, huwezi kuja kichwa kichwa ukataka kumuweka benchi Mery Mwanjelwa ambaye amekuwa akiyumba na Jimbo kwa miaka mingi kisa unakubalika huko juu.

CCM noma sana noma tumetulia sana kama maji baharini
 
Huyo mama Mbeya kwani anakwenda kuongoza? Yeye anakwenda kama Milango wa kutokea tu ili kupata vyeo vingine kama usipika na uwaziri wa katiba.Hawezi kushinda ila atatangazwa chadema wakilala
 
Dada Tulia jana katoa milioni moja kwa Mbeya City kama kifungua kinywa, video zipo na huku Makamu Mwenyekiti wa CCM akiwa amekataza jambo hilo. Bahati mbaya sana CCM hawawezi kumgusa Tulia
 
hii ishu niliisikia hapa mbeya kwamba wenyeji wanasema bora mary mwanjelwa kuliko tulia maana tulia ni wa kuja......

kule kwa sauli nasikia wazee walimwambia hana nafasi, kwaio inasubiriwa tu amri ya mkulu kumpa jimbo lolote!

on the other side, huyu dada kamwaga hela balaa hapa mjini, na saizi anajenga nyumba yake gorofa tatu maeneo ya itezi (isyesye?) karibu na makaburini kule
 
Huyo mama Mbeya kwani anakwenda kuongoza? Yeye anakwenda kama Milango wa kutokea tu ili kupata vyeo vingine kama usipika na uwaziri wa katiba.Hawezi kushinda ila atatangazwa chadema wakilala
CHADEMA wanaweza kukesha wamesimama mita 200 bado Tulia atashinda!
 
Huu uchu wa madaraka kiasi hiki, unajambo nyuma ya pazia, kuna rasilimali lazma zitumike vbaya tuwe makini ndugu zangu
Kwann huyu tulia anaitaka sana mbeya¿¿ kwa nn, kuna resource tu anataka ziexploit kwa manufaa yake binafsi
 
Kwa Mbeya haishangazi! Wana CCM wanajua umwagiana mboga na ugali. Ndiyo maaana CDM inapita kiurahisi Mbeya.
 
Huyo mama Mbeya kwani anakwenda kuongoza? Yeye anakwenda kama Milango wa kutokea tu ili kupata vyeo vingine kama usipika na uwaziri wa katiba.Hawezi kushinda ila atatangazwa chadema wakilala
Wampe tu uspika, ila Unaibu Spika ndio lazima atokane na wabunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…