idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
CCM Jimbo la Mbeya wameanza kushikana uchawi mapema, wakituhumiana kusalitiana.
Jimbo la Mbeya linasiasa zake za tofauti, Dkt. Tulia hata kama atashinda kwa kutumia Dola, naamini ataongoza Jimbo kwa shida sana.
Sugu anatoboa tena katikati ya Makundi ya CCM kama chaguzi zilizopita.
Ushauri Dr Tulia tafuta Jimbo lingine, huu Moshi sio mzuri kwako, huwezi kuja kichwa kichwa ukataka kumuweka benchi Mery Mwanjelwa ambaye amekuwa akiyumba na Jimbo kwa miaka mingi kisa unakubalika huko juu.