CCM miaka 46 (1977-2023) mafanikio ni mengi

CCM miaka 46 (1977-2023) mafanikio ni mengi

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Tukiwa katika kusherehekea kutimiza miaka 46 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo;

1. Umeme hadi vijijini.
2. Makao Makuu - Chama na Serikali kuhamia Dodoma (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere)
3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere)
4. SGR.
5. Demokrasia imekua (mikutano ya hadhara, uchaguzi huru na wa haki, Uhuru wa.Mahakama).
6. Muungano umeimarika,
7. Diplomasia ya Uchumi wa Kisayansi imeimarika eg. Leo hii ATC inatua Nairobi, Entebbe, Bujumbura, Lusaka, Harare, Mumbai (Kwa uchache).
8. Afya (NHIF).
9. Elimu (ngazi zote),
10. Miundombinu ya kisasa ( airports, bus terminus, vyuo Vikuu vipya vya kisasa)

CHANGAMOTO:
4. Vita ya Ukraine,
3. Maslahi (posho za Madiwani).
2. Ukame.
1. Soko Kwa bidhaa za kilimo.
 
Attachments

  • download (1).png
    download (1).png
    8.3 KB · Views: 7
Tukiwa tumebakiza masaa kusherehekea kutimiza miaka 36 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo;

1. Umeme hadi vijijini.
2. Makao Makuu kuhamia Dodoma.
3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere.
4. SGR.
5. Demokrasia imekua,
6. Muungano umeimarika,
7. Diplomasia ya Uchumi wa Kisayansi.
Points zako hizo hizo 7, Tukisema tuzijadili, utashindwa kuzisimamia
 
Tukiwa tumebakiza masaa kusherehekea kutimiza miaka 36 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo;

1. Umeme hadi vijijini.
2. Makao Makuu kuhamia Dodoma.
3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere.
4. SGR.
5. Demokrasia imekua,
6. Muungano umeimarika,
7. Diplomasia ya Uchumi wa Kisayansi.
2023-1977=36? Serious?!!
 
Miaka 46.. CCM tuachie nchi yetu sasa
 
Huu Ni uzi wa mwaka 2013 ama?maana toka 1977 Hadi 2023 Ni miaka 46
 
Kuna nchi nyingine miaka 30 tuu umeme, maji, miundombinu na mengine ya kijamii imebaki historia, sasa nyie mnasifu vitu kama hivyo wengine wanawaza kwenda Mars, sijui mwisho wenu ni Dar peke yake? tembeen duniani alafu uje kuona ulichoandika hapa
 
Tukiwa tumebakiza masaa machache kusherehekea kutimiza miaka 46 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo;

1. Umeme hadi vijijini.
2. Makao Makuu - Chama na Serikali kuhamia Dodoma (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere)
3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere)
4. SGR.
5. Demokrasia imekua (mikutano ya hadhara, uchaguzi huru na wa haki, Uhuru wa.Mahakama).
6. Muungano umeimarika,
7. Diplomasia ya Uchumi wa Kisayansi imeimarika eg. Leo hii ATC inatua Nairobi, Entebbe, Bujumbura, Lusaka, Harare, Mumbai (Kwa uchache).
8. Afya (NHIF).
9. Elimu (ngazi zote)

CHANGAMOTO:
3. Maslahi (posho za Madiwani).
2. Ukame.
1. Soko Kwa bidhaa za kilimo.
Ongezea
UCHAWA NA MACHAWA WA ...
 
Back
Top Bottom