CCM miaka 46 (1977-2023) mafanikio ni mengi

CCM miaka 46 (1977-2023) mafanikio ni mengi

Chama Cha mapinduzi ...ni chama ambacho kimeiweka Tanzania kwenye umaskini
FB_IMG_1575390792397.jpg
FB_IMG_1575390806699.jpg
 
Bora usingezaliwa ungefia tumboni.

Pumbafuuu
Tukiwa katika kusherehekea kutimiza miaka 46 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo;

1. Umeme hadi vijijini.
2. Makao Makuu - Chama na Serikali kuhamia Dodoma (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere)
3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere)
4. SGR.
5. Demokrasia imekua (mikutano ya hadhara, uchaguzi huru na wa haki, Uhuru wa.Mahakama).
6. Muungano umeimarika,
7. Diplomasia ya Uchumi wa Kisayansi imeimarika eg. Leo hii ATC inatua Nairobi, Entebbe, Bujumbura, Lusaka, Harare, Mumbai (Kwa uchache).
8. Afya (NHIF).
9. Elimu (ngazi zote),
10. Miundombinu ya kisasa ( airports, bus terminus, vyuo Vikuu vipya vya kisasa)

CHANGAMOTO:
4. Vita ya Ukraine,
3. Maslahi (posho za Madiwani).
2. Ukame.
1. Soko Kwa bidhaa za kilimo.
Unalinganisha na chama ganji?
 
Back
Top Bottom