Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Halafu wanadai vijana tujiajiriš¤£š¤£š¤£ššYaani huyu Bwashee toka amalize na Marehemu Mzee Sitta pale UDSM bado TU anatembea na bahasha kutafuta AJIRA?!!looh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wanadai vijana tujiajiriš¤£š¤£š¤£ššYaani huyu Bwashee toka amalize na Marehemu Mzee Sitta pale UDSM bado TU anatembea na bahasha kutafuta AJIRA?!!looh
Wana hofu kwamba Lissu akiibiwa kura hatakubali, na Maalimu hivyohivyo.
TuKosa kubwa tutalalofanya kwa sisi tulio hai sasa ambalo hatutakuja samehewa na vizazi vijavyo ni kuruhusu MAGUFULI ashindeuchaguzi huu au kwa kura au kwa hila. Inabidi tumzuie kwa kila namna. Huyu ni sampuli za akina KAGAME na MUSEVENI, hawezi kutoka hata mwaka 2025.
MARK THIS TWEET, nitawakumbusha Mungu akitupa uhai mwaka 2026
Habari ambayo haikiuwa na ushahidi wowote.Sasa wananchi wameamua kuitolea uvivu CCM ni baada ya UVCCM kupita kila duka hapa sokoni na kupachika bendera na picha zao,muda si muda wenye maduka wameziondoa bendera hizo kwenye maduka ya o na kuzitupa kwenye jalala lililo karibu ,kama haitoshi wenye maduka waliwajia juu vijana hao wa CCM na kuwatimua huku wakiwambia msisogelee maduka yenu na nuksi zenu kazipachikeni kwenye maofisi yenu.
Jingine ni lile la Zanzibar Nungwi polisi wameziondoa picha zote za mgombea wa CCM zilizobandikwa kwenye ofisi ya ACT-Wazalendo na polisi haikusita kuiambia CCM muda wao umekwisha wasubiri kuzikwa tu na wasisubutu tena kurudia upumbavu wao.
nahisi tu kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimeshaona sasa upepo wa mabadiliko sio wa kawaida,wanaona wazi CCM imeanza kupoteza nguvu na ni wepesi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Meko alikosea sana kuiba kura za Serikali za Mitaa za 2019 na za Uchaguzi Mkuu wa 2020. Kuiba kweli dunia nzima inaiba lakini wanaiba kati ya Asilimia 3% na 5%. Huyu Magufuli alijiandikia tu kapata eti 82%? Wako wapi Watanzania wa kumpa hata 30%? Mungu amechukia, hauwezi kuishi!Sasa wananchi wameamua kuitolea uvivu CCM ni baada ya UVCCM kupita kila duka hapa sokoni na kupachika bendera na picha zao,muda si muda wenye maduka wameziondoa bendera hizo kwenye maduka ya o na kuzitupa kwenye jalala lililo karibu ,kama haitoshi wenye maduka waliwajia juu vijana hao wa CCM na kuwatimua huku wakiwambia msisogelee maduka yenu na nuksi zenu kazipachikeni kwenye maofisi yenu.
Jingine ni lile la Zanzibar Nungwi polisi wameziondoa picha zote za mgombea wa CCM zilizobandikwa kwenye ofisi ya ACT-Wazalendo na polisi haikusita kuiambia CCM muda wao umekwisha wasubiri kuzikwa tu na wasisubutu tena kurudia upumbavu wao.
nahisi tu kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimeshaona sasa upepo wa mabadiliko sio wa kawaida,wanaona wazi CCM imeanza kupoteza nguvu na ni wepesi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Meko alikosea sana kuiba kura za Serikali za Mitaa za 2019 na za Uchaguzi Mkuu wa 2020. Kuiba kweli dunia nzima inaiba lakini wanaiba kati ya Asilimia 3% na 5%. Huyu Magufuli alijiandikia tu kapata eti 82%? Wako wapi Watanzania wa kumpa hata 30%? Mungu amechuia, hauwezi kuishi!