bulicheka 4
JF-Expert Member
- Mar 22, 2020
- 915
- 1,019
Huyo mmbeba mabox achana nae saizi kwao usikuHebu angalia saa yako vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mmbeba mabox achana nae saizi kwao usikuHebu angalia saa yako vizuri
Wakuu, kuna Mgombea Urais mmoja leo amelalamika sana akituhumu watu wa vyama vingine kujitokeza kugombea nafasi ya urais, akisema kuwa mbona Mkapa, Kikwete na Mwinyi wao walipewa miaka kumi? Anahoji kwani yeye ana makosa gani? Nimeshindwa kuelewa wakuu kwani hao aliowataja walipita bila kupingwa? Kwenye kumbukumbu zangu nakumbuka wote hao waligombea na wapinzani waliweka wagombea urais, sasa huyu wa leo kusema maneno hayo nimeshindwa kabisa kumwelewa.Duh
Ova
Kosa kubwa tutalalofanya kwa sisi tulio hai sasa ambalo hatutakuja samehewa na vizazi vijavyo ni kuruhusu MAGUFULI ashindeuchaguzi huu au kwa kura au kwa hila. Inabidi tumzuie kwa kila namna. Huyu ni sampuli za akina KAGAME na MUSEVENI, hawezi kutoka hata mwaka 2025.Wakuu, kuna Mgombea Urais mmoja leo amelalamika sana akituhumu watu wa vyama vingine kujitokeza kugombea nafasi ya urais, akisema kuwa mbona Mkapa, Kikwete na Mwinyi wao walipewa miaka kumi? Anahoji kwani yeye ana makosa gani? Nimeshindwa kuelewa wakuu kwani hao aliowataja walipita bila kupingwa? Kwenye kumbukumbu zangu nakumbuka wote hao waligombea na wapinzani waliweka wagombea urais, sasa huyu wa leo kusema maneno hayo nimeshindwa kabisa kumwelewa.
Lakini kuna kitu nimekigundua kuwa huyu mtu hapendi kupingwa, kumbe ndio maana hata kushauriwa au kukosolewa alikataa katakata nimejaribu kugmfuatilia hata huko nyuma kumbe kwenye ubunge Siku zote alikuwa anapita bila kupingwa alikuwa anafanya vigisu vigisu hadi wenzake wanaondolewa, ni tabia yake.
Pia nimejiuliza kwani anapolalamika kuwa wenzake walipewa miaka kumi inamaana ameishajua kuwa Watanzania wamemkataaa? Swali langu amejuaje kuwa hatapita? Amejuaje kuwa mwisho wake ni miaka mitano? OK tunashukuru kajua kuwa watanzania wameishasema no
Niwakbushe kitu ambacho hamkijui "MANENO YANAUMBA"
Kumbe hata hiii ya kuua democracy huyu mzee ni kitu kilicho kwenye damu, na maneno hayo aliyoyasema kayasema mara kwa mara na si Dalili Nzuri Mtumishi Kama huyu kupewa nchi nihatariiiii kuliko mnavyofikiri mtu kama huyu anaweza kukugeuka mtu yoyote uwe CCM Au upinzani, uwe ndugu au usiwe ndugu, watu wa aina hiii hawapaswi kuwaachwa wakapita wakuuu chukueni tahadhali mtu kama huyu anaumiza kote kote na watu kama hawa hawaondokagi madarakani mtakuja kujuta huko mbeleni, leo utamuunga mkono kesho atakugeuka itakula kwako unaemuunga mkono kisa uko nae kwa sasa.
Hivi mwanamume anaemtongoza mwanamke anaenda Kwa kigezo kuwa mbona Fulani ulimkubalia kipindi kile? Kwan nini Mimi unaninyima? Tobaaaaa
Mnasema mtapita Kwa asilimia tisini, mnaimba nyimbo kila kukicha kuwa mtapita Kwa kishindo huku mnatenda ukatiri wa kiwango cha juuu ili mpate viti maaalum, sasa kila kitu chenu mnatumia vitu vyoote vya serikali sasa mnaogopa nini kuruhusu kuingia uwanjani? Kama mnajiweza mnakaa na kuimba imba kuwa mtapata kura nyingi, huku mnafanyia ukatiri mwanamke Yule wa mlimba mnamuogopa mwanamke? Halafu mnaimba mapambio kuwa mtashinda Kwa kishindo? Utwmshindaje? Mnashindana na Nani?
Mama wa mlimba amewasilisha risti anewakabidhi Kwa Picha na video, Mkurugenzi amepokea mkononi risiti video inaonekana akishukuru kupewa, anamwiita Afisa wake anamkabidhi Kwa mkono video inaonekana hadharani anaagiza waandikie kwenye kitabu huku anakenua Meno video yoooote inamuonesha had mkono wa kupokea Halafu mnamwambia kuwa weka pingamizi kuwa hakuleta risiti, Loooh hata mshiba wa aibu Hamna? Huku mnatamba kuwa mnapendwa huku mnatenda ukatiri, ole wenu hiii haikutokea tarime tungewashikisha adhabu, tungewaambia wanaume kuwa hamkutendewa nyie tumetendewa sisi ngoja tuwanyoooshe wenyewe, mnabahati nyie sio huku tarime
Mijitu Kama hiii ikishtakiwa wa wababe wenzao inaaaza kusema mara ooh mabeberu. Msipomrudisha mtakuja kutajana tunawwambia
Think Tank ya CCM ni Ulafi wa Mali na Madaraka,amoja na watoto wao Unafiki,Uzandiki ,Umbeya ,na Mjukuu wake Mkubwa Ndiyo Mzee!Mungu si mwanasiasa bali wanasiasa wana miungu. Shetani si mwanasiasa bali wanasiasa wana vishetani vyao.
Siasa ni imani lakini siasa sio dini. Siasa ina wafuasi na dini pia ina wafuasi, lakini si lazima mfuasi wa dini awe mfuasi wa siasa na kinyume chake.
Ni muhimu think tank ya CCM ielimishwe sasa kwakuwa ikizidisha hii michanganyo mwisho itachanganyikiwa, na ikichanganyikiwa inaweza kufanya mambo bila ufahamu kamili. Sijui ni hofu ama ni nini, lakini dalili zinaonesha wazi CCM imejawa hofu.
Hofu huleta woga
Hofu huondoa ujasiri
Hofu huleta taharuki
Hofu huondoa ufahamu
Kila jambo ni mchakato na kila mchakato una formula zake, wabobezi wa kemia wanalijua hili vema. Ukikosea formula huwezi kupata matokeo tarajiwa.
Usijaribu kumchanganya Mungu na shetani ..hizi ni falme mbili kinzani..japo ufalme wa Mungu ni mkubwa kuliko ufalme wa shetani. Kuna namna ya kuenenda na shetani na kuna namna ya kuenenda na Mungu; hupaswi kuzichanganya hizi falme mbili kwenye jambo moja.
Ndani ya wiki moja CCM imezichanganya falme mbili, matokeo yamekuwa hasi. Lilianza kitu kinachoitwa 'tamasha la wasanii' wasiopungua 200, wote tulishuhudia ufalme wa giza ulivyosujudiwa pale. Shetani alipewa airtime ya kutosha kabisa.
Siku chache baadae likaja kitu kinaitwa 'kongamano la amani' wahusika walikuwa ni viongozi wa dini mbalimbali walionona kweli kweli, wakajaribu kuusimika ufalme wa Mungu pale.
Mwaka uliopita lilijitokeza kundi la watu mia moja taslimu waliojiita waganga wa kienyeji mashuhuri Tanzania, wakatoa onyo na kupiga mikwara yao.
Think tank ama kitengo cha propaganda, kilitakiwa kufanya nini ili kisiharibu taswira ya chama mbele ya wananchi?
Wale watu mia moja taslimu hawakupaswa kupewa jina la WAGANGA WA KIENYEJI, walau basi wangeitwa wazee wa mila. Lakini je, ni kweli kabisa uganga wa kienyeji unafanya kazi kwa jinsi ile? Jibu ni HAPANA. Kwahiyo basi kule kulikuwa ndiyo mwanzo wa kuchanganyikiwa.
Hiki kilichokuja kuitwa TAMASHA LA WASANII kingetakiwa kufanya nini?
Ili kuonesha UTU na kujali pamoja na nyimbo zao zile wangetawanywa na kwenda kutoa huduma za kijamii kwa wahitaji na wasiojiweza, wangetawanywa kwenye mahospitali, nyumba za watoto yatima na zile za kulelea wazee wasiojiweza. Ssehemu ya pesa iliyotumika kuwalipa wasanii ingetumika kuwahudumia hawa wahitaji.
Hiki kilichoitwa jana KONGAMANO LA AMANI, badala ya kujikusanya pale kwenye ukumbi wa gharama na kula vinono kwenye AC, walitakiwa wakusanyike sehemu kama uwanja wa taifa na kufanya ibada ya kuliombea Taifa na watu wake wote. Kuombea:
Hivi inaleta picha gani kwa wagonjwa wenye uhitaji mkubwa wa vifaa tiba na madawa pale Hospital ya Temeke wakiwa hawajapewa kwa serikali kukosa pesa lakini wakati huohuo chama chenye serikali kikifanya ufujaji mkubwa wa pesa kwa vijana wahuni, barobaro na 'wavuta bhangi' wasiojitambua waliolipwa malipo wasiyostahili?
- Amani ya Taifa
- Mshikamano
- Upendo
- Umoja
- Msamaha na kusameheana
- Ustawi wa Taifa na watu wake n.k, n.k
Hivi inaleta picha gani kwa wagonjwa waliolala pale Ocean rd na Muhimbili wakidaiwa pesa za matibabu ambazo hawana uwezo nazo wanakufa wanajiona huku viongozi wao wa kidini kwa sura zilizong'aa na nyuso zilizonona wakikaribishwa kwenye hafla ya kusifu na kuabudu? Badala ya kupendwa ndio kwanza wataanza kutengeneza chuki.
Chama kilifadhili kusanyiko la waganga wa kienyeji 100
Chama kikafadhili tamasha la wasanii 200
Chama kimefadhili kongamano la amani Tanzania la viongozi wa dini- sina idadi yao
Ni jambo jema kwakuwa chama kina miradi mbalimbali, lakini je, hayo ndio matumizi sahihi ya mapato?
Think tank ya CCM inapaswa kujitafakari upya. Maamuzi ya kukurupuka kwa ajili ya hofu yanaweza kuliweka taifa kwenye mtanziko mkubwa.
Kutokana na hizo tweets, ni dhahiri kwa sasa huko chama cha kijani, moto unafukuta, unafukuta vikali mno!
😂😂😂Mungu si mwanasiasa bali wanasiasa wana miungu. Shetani si mwanasiasa bali wanasiasa wana vishetani vyao.

Mungu atusaidie sana tumwengue huyu Mubutu SesekoHaya Mambo yanakatisha tamaa Sana na kutuumiza sisi Vijana makada huku Mtaani tuna Njaa Ajira Hatuna Toka tumemaliza vyuo yaani shida tupu.
Mungu atusaidie kwa kweli,nikiona Vijana Wenzangu walivyo na Njaa na Bado tunakitumikia chama kwa moyo mmoja huku tuna Njaa hivyo hivyo.Dah tutafika tu lakini japo kwa Kuchoka.Mungu atusaidie Vijana Wenzangu wote Nchi nzima tusiokuwa na Ajira ambao tumemaliza Vyuo na bado tunakipenda Chama Cha Mapinduzi kwa moyo mmoja.
Mungu anajua kutenda kutoka umauti mpaka UpresdentKadiri siku zinavyokwenda utalipuka mbaya
Mavi u
Haya Mambo yanakatisha tamaa Sana na kutuumiza sisi Vijana makada huku Mtaani tuna Njaa Ajira Hatuna Toka tumemaliza vyuo yaani shida tupu.
Mungu atusaidie kwa kweli,nikiona Vijana Wenzangu walivyo na Njaa na Bado tunakitumikia chama kwa moyo mmoja huku tuna Njaa hivyo hivyo.Dah tutafika tu lakini japo kwa Kuchoka.Mungu atusaidie Vijana Wenzangu wote Nchi nzima tusiokuwa na Ajira ambao tumemaliza Vyuo na bado tunakipenda Chama Cha Mapinduzi kwa moyo mmoja.
Itakuwa jambo la kheirKila jambo lina kikomo cha kuwa...end of existence!