Uchaguzi 2020 CCM, michanganyo hii mwisho mtachanganyikiwa kabisa na kupoteana

Uchaguzi 2020 CCM, michanganyo hii mwisho mtachanganyikiwa kabisa na kupoteana

Mshana umewai kuona wapi kwenye kundi la viongozi wa dini kuna ASKOFU Malasusa, ASKOFU Sothteness alafu Kuna SHEIKH sharif majini???

Umewai ona wapi huo mchanganyiko wa viongozi wa dini?????

Tunaposema CCM wamechanganyikiwa na Lissu mjue wamechanganyikiwa kweli!!!!
 
Baba anapompata mtoto humuelekeza tahajia sahihi za maisha, Mtoto akishaanza kupevuka huhitaji uhuru, baba akitoa nasaha zake kwa mtoto kuhusu mienendo hasi ya mtoto, Mtoto hufikiri kuwa anaonewa, Baba mwenye busara huanza kubana uhuru wa mtoto, "Mtoto akishafika (age of reasoning) Huanza eidha kumshukuru baba au kuilaumu nafsi yake"
Sorry lakini sijaelewa
 
CHADEMA sikia nasaha hizi! Huyu Mshana Jr, mtafuteni muwekeni kwenye THINK TANK PORTIFOLIO YENU!
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1548]
 
Mzee mshana. Ungeachana na vyama visivyo vyako. Toa sera za chama ukipendacho. Vipi uzi wako wa corona. Embu kausome tena then Rudi hapa
 
Mzee mshana. Ungeachana na vyama visivyo vyako. Toa sera za chama ukipendacho. Vipi uzi wako wa corona. Embu kausome tena then Rudi hapa
Thanks for being my closer follower but am a free thinker..huwezi kunipangia cha kupost...nina nyuzi nyingi za corona unazungumzia upi mmojawapo?
 
Mshana Jr tofautusha Kati ya "VIONGOZI WA DINI NA VIONGOZI WA KIROHO"
wale malofa tunaowaona ni viongozi wa dini yaani kazi Yao kuongoza maisha Yao na matumbo Yao Ila viongozi wa KIROHO ni wale wanaoongoza mioyo ya watu ili waurithi ufalme wa MUNGU.... viongozi wa dini ni hao akina gwajima,Mzee Wa upako,nabii Tito,bakwata na katoliki
 
Ahhssanteee!
 
Mkuu kwa Wakristo wanaijua hiyo. Unaitwa Utwala wako Umefitinika na umegawanyika . Huyo ni Nebuchadnezzar utawala wa Babiloni alivyopewa ujumbe baada ya kuanza kuabudu miungu. Ipo kwenye kitabu cha DANIELI 5:25. Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI

Tabia na mwenendo wa Magufuli ni kama Nebuchadnezzar kabisa. Na tayari amefitinika kwa namna alivyowatenga waliompigania kupata Uraia mwaka 2015
 
Mshana Jr tofautusha Kati ya "VIONGOZI WA DINI NA VIONGOZI WA KIROHO"
wale malofa tunaowaona ni viongozi wa dini yaani kazi Yao kuongoza maisha Yao na matumbo Yao Ila viongozi wa KIROHO ni wale wanaoongoza mioyo ya watu ili waurithi ufalme wa MUNGU.... viongozi wa dini ni hao akina gwajima,Mzee Wa upako,nabii Tito,bakwata na katoliki
Wajasilia dini
 
KUDOS
Hiki kilichoitwa jana KONGAMANO LA AMANI, badala ya kujikusanya pale kwenye ukumbi wa gharama na kula vinono kwenye AC, walitakiwa wakusanyike sehemu kama uwanja wa taifa na kufanya ibada ya kuliombea Taifa na watu wake wote. Kuombea:

  • Amani ya Taifa
  • Mshikamano
  • Upendo
  • Umoja
  • Msamaha na kusameheana
  • Ustawi wa Taifa na watu wake n.k, n.k
 
Inatia kichefu chefu na inakera sana. Any way inaonesha pia kwa upande wa pili kwamba ni namna gani ccm strategists walivyopungukiwa. ccm ile ya nyuma ninayoijua isingejikanyaga kiasi hiki
 
Back
Top Bottom