Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Umenikumbusha kuna kitu kinaitwaKuna usemi unasema There's safety in numbers
Ukiangalia kwenye animal kingdom
Tatizo wanacdm wengi hawajiandikishi. Walikata tamaa wahimizeni Hilo kwanza.Hapo kwenye kujiandikisha ndo muhimu
Haswa mkuuUmenikumbusha kuna kitu kinaitwa
"Dilution factor" kwenye concept ya usalama wa wanyama wanapokuwa wanawindwa na wanyama wakali kwa ajili ya kuliwa.
Kadri wanyama wanavyokuwa wengi, ndivyo uwezekano wa mnyama mmoja kuliwa unakuwa mdogo.
Kinyume chake ni pia ni kweli.
Sisi Watanganyika tuko salama kabisa.. Waliodhihakiwa ni wale wa kijani kibichiMkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania.
Watu wananuka shida, maisha ni magumu kila kona, lakini CCM hawakuona aibu kutumia mabilioni ya watanzania walipa kodi, kusomba watu, wasanii, watangazaji, vyombo vya habari vyote ili wakusanyike Dodoma kwa ajili ya kusomewa jina la makamu mwenyeketi wa chama.
Ni uchungu sana kwa nchi kama hii, kutumia pesa za Watanzania vibaya namna ile, hakukuwa na ulazima kabisa, mungeitana wajumbe tu ingetosha.
Imeniuma sana kuona Watanzania tunachezewa namna ile.
Watanzania tukajiandikishe kupiga kura, tufanye mabadiliko ya utawala, hii hali ni mbaya sana, yaani CCM ni inatuburuza tu.
Mkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania.
Watu wananuka shida, maisha ni magumu kila kona, lakini CCM hawakuona aibu kutumia mabilioni ya watanzania walipa kodi, kusomba watu, wasanii, watangazaji, vyombo vya habari vyote ili wakusanyike Dodoma kwa ajili ya kusomewa jina la makamu mwenyeketi wa chama.
Ni uchungu sana kwa nchi kama hii, kutumia pesa za Watanzania vibaya namna ile, hakukuwa na ulazima kabisa, mungeitana wajumbe tu ingetosha.
Imeniuma sana kuona Watanzania tunachezewa namna ile.
Watanzania tukajiandikishe kupiga kura, tufanye mabadiliko ya utawala, hii hali ni mbaya sana, yaani CCM ni inatuburuza tu.
Mtaendelea kuburutwa tu hadi hapo mafuvu yarudishiwe akili kumbuka tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi pia unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe, jamii ambayo ukiiambia Kuna fursa ya mikopo wanajifunga na vibwebwe watekesha hata kwa muda wa wiki nzima wanaacha shughuri zao kwa muda wawiki nzima lakini wanaambulia patupuMkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania.
Watu wananuka shida, maisha ni magumu kila kona, lakini CCM hawakuona aibu kutumia mabilioni ya watanzania walipa kodi, kusomba watu, wasanii, watangazaji, vyombo vya habari vyote ili wakusanyike Dodoma kwa ajili ya kusomewa jina la makamu mwenyeketi wa chama.
Ni uchungu sana kwa nchi kama hii, kutumia pesa za Watanzania vibaya namna ile, hakukuwa na ulazima kabisa, mungeitana wajumbe tu ingetosha.
Imeniuma sana kuona Watanzania tunachezewa namna ile.
Watanzania tukajiandikishe kupiga kura, tufanye mabadiliko ya utawala, hii hali ni mbaya sana, yaani CCM ni inatuburuza tu.
Asikudanye mtu akakwambia CCM upo lwa ajilo ya wananchi, hilo walisha achana naloWananchi wana matatizo makubwa sana, alafu mwenyewe wanaenda kutumia pesa za walipa kodi namna ile ni huzuni sana.
Kabisa, ni upotevu mkubwa wa fedha za umma.Mkutano wa CCM uliofanyika tarehe 17 hadi 18 Januari mwaka huu ulikuwa ni kituko cha mwaka na kuwatukana watanzania.