Nakumbusha CCM mlikataa mabadiko ya katiba kwa umoja wenu mkiamini mnawakomoa CHADEMA, sasa msitupigie kelele mna mchango mkubwa kwa yaliyopo sasa
Yaani nyuma ya pazia kelele ni nyingi sana za wana CCM tena nyingi kweli kweli wakati mabadiliko ya katiba waliyakataa wenyewe huko bungeni kwa kishindo kikubwa kabisa na vifujo sasa mnatupigia kelele
Hayo ni matunda ya kutanguliza uzalendo kwa mtu badala ya kuwa wazalendo kwa Taifa na mtamalizana kwakweli kwa hali ilivyo sasa visasi vitakuwa vingi sana