Kufa kwa chama chao ndiyo kupona kwa taifa hili.Yaani nyuma ya pazia kelele ni nyingi sana za wana CCM tena nyingi kweli kweli wakati mabadiliko ya katiba waliyakataa wenyewe huko bungeni kwa kishindo kikubwa kabisa na vifujo sasa mnatupigia kelele
Hayo ni matunda ya kutanguliza uzalendo kwa mtu badala ya kuwa wazalendo kwa Taifa na mtamalizana kwakweli kwa hali ilivyo sasa visasi vitakuwa vingi sana
Misemo ya mjini tunasema" kinawarambaaa"Ninachofurahi hivi sasa wanamalizana wenyewe kwa wenyewe mbwa hawa.
Uhuni wa utekaji na mauaji sasa mnafanyiana wenyewe, hata wewe watakufikia tuu, uchawa hautakusaidianan kakupigia kelele
huyo wakala wa shetani hana tofauti na toilet paperUhuni wa utekaji na mauaji sasa mnafanyiana wenyewe, hata wewe watakufikia tuu, uchawa hautakusaidia
Polepole na Mwambenan kakupigia kelele
Yaani nyuma ya pazia kelele ni nyingi sana za wana CCM tena nyingi kweli kweli wakati mabadiliko ya katiba waliyakataa wenyewe huko bungeni kwa kishindo kikubwa kabisa na vifujo sasa mnatupigia keleleNakumbusha CCM mlikataa mabadiko ya katiba kwa umoja wenu mkiamini mnawakomoa CHADEMA, sasa msitupigie kelele mna mchango mkubwa kwa yaliyopo sasa
Yaani nyuma ya pazia kelele ni nyingi sana za wana CCM tena nyingi kweli kweli wakati mabadiliko ya katiba waliyakataa wenyewe huko bungeni kwa kishindo kikubwa kabisa na vifujo sasa mnatupigia kelele
Hayo ni matunda ya kutanguliza uzalendo kwa mtu badala ya kuwa wazalendo kwa Taifa na mtamalizana kwakweli kwa hali ilivyo sasa visasi vitakuwa vingi sana