figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hahaha, bado hawaaminiKuna wale Wajumbe wa Mkutanao Mkuu wa CCM waliotangulia Dodoma kula bata eti wakisubiri Mkutano Mkuu.
Warudi makwao tu. Wasitegemee kupata Posho ya safari wala Per diem. Imekula kwenu.🤣🤣🤣
REFORMS ni muhimu sana.✍️Kuna wale Wajumbe wa Mkutanao Mkuu wa CCM waliotangulia Dodoma kula bata eti wakisubiri Mkutano Mkuu.
Warudi makwao tu. Wasitegemee kupata Posho ya safari wala Per diem. Imekula kwenu.🤣🤣🤣
Mchangien nauli jmn, alikuwa na ya kwenda tu 😂😂😂Lucas Mwashambwa imekula kwako kaka hamna posho saivi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Kuna mtu anasoma huu uzi huku akisonya na kuwaza atapata wapi nauli ya kurudia alikotoka🤣🤣.Kuna wale Wajumbe wa Mkutanao Mkuu wa CCM waliotangulia Dodoma kula bata eti wakisubiri Mkutano Mkuu.
Warudi makwao tu. Wasitegemee kupata Posho ya safari wala Per diem. Imekula kwenu.🤣🤣🤣
Mchangien nauli jmn, alikuwa na ya kwenda tu 😂😂😂
Hiki ni kikao cha dharula, wao waliendaje wakati hakikua kwenye ratiba? Yhread hii si ya kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Kuna mtu anasoma huu uzi huku akisonya na kuwaza atapata wapi nauli ya kurudia alikotoka🤣🤣.
Comrade Lucas Mwashambwa njoo chako ni chako tutege vipochi manyoya, kesho tutaanza mdogo mdogo kuitafuta Tukuyu🤣🤣🤣
CCM mwaka huu ITAWATESA SANA.
Tatizo lao hoja wanazozitumia zinawashinda nguvu wao wenyewe, wanafika mahali wanapoteza ule munkari walioanza nao.Rukeni mrukavyo , CCM bado itabaki madarakani